Wanaume wa ARUSHA na Dar wapi wakali/wa maana?

wanaume wa DaR wapo juu.dar ni chuo kikuu cha maisha.kama anaishi dar basi mheshimu sana.mia

Mtu mwenye akili na ufahamu usio na mashaka hawezi kucomment kwenye hii thread kama atakavyo mtoa mada kwani utajikuta unatukana kama siyo baba yako basi , mama, dada ,kaka na hata mjomba wako anayeishi Dar au Arusha. Nasema hivi kwa sababu kama niko Arusha na ninatoa comment hasi kwa wanaume wa Dar mimi ni mpumbavu kwa sababu pamoja na kuwa Ar lakini Dar kuna ndugu zangu weengi. Siwezi kuwa mnafiki na kuanza kutukana ndugu zangu walioko Dar mimi au uliyeko Dar uanze kutukana wanaume wa Arusha ukijumuisha ndugu zako waishi huku Ar.

Hii thread imekosa MASHIKO NA IKO KIMTAZAMO FINYU SANA YAANI SHORTSIGHTEDNESS SANA.
 
sistaa we niaje? Unataka utufananishe na wapaka poda sisi?huyu manzii niaje.....acha usoro!
Aiseee chali angu samehe tu huyu manzi kakosa wa kuwafananisha nao.Dar wamejaa watoto wa mama Atown wamejaa mahustler!!!
 
Mtu mwenye akili na ufahamu usio na mashaka hawezi kucomment kwenye hii thread kama atakavyo mtoa mada kwani utajikuta unatukana kama siyo baba yako basi , mama, dada ,kaka na hata mjomba wako anayeishi Dar au Arusha. Nasema hivi kwa sababu kama niko Arusha na ninatoa comment hasi kwa wanaume wa Dar mimi ni mpumbavu kwa sababu pamoja na kuwa Ar lakini Dar kuna ndugu zangu weengi. Siwezi kuwa mnafiki na kuanza kutukana ndugu zangu walioko Dar mimi au uliyeko Dar uanze kutukana wanaume wa Arusha ukijumuisha ndugu zako waishi huku Ar.

Hii thread imekosa MASHIKO NA IKO KIMTAZAMO FINYU SANA YAANI SHORTSIGHTEDNESS SANA.

Mkuki kwa ngurue kwa binadamu mchungu. Mi nadhani nimemwelewa vizuri mtoa mada, kikubwa hapa alitaka kuona reaction ya wanaume pale inapotokea kujadiliwa hapa. Kwani kuna mada za kujadili wanawake wa sehem mbali mbali, na watu wakachangia na kufurahia. Leo zamu yenu mnasema sredihaina mashiko. Sidhani kujadili hili linashusha hadhi ya Jf, no! Kwani humu kuna majukwaa tofauti, yanayojadili mambo tofauti ambayo kila mtu anaingia kule kwenye interest yake. Kwa mfano, mimi sijawahi kuingia kule kwa Celebrities, sasa wewe unajichanganya, unaenda kwenye jokes kisha unategemea kupata facts infos! Haiwezekani.
Pia kumsifia mtu sio kumtusi, kama mzuri mzuri tu, na kama mbaya mbaya tu hata akiwa ndugu yako.
 
Thread kama hizi kuendelea kjadili ni kupoteza muda , aliyeitoa anaomba ushauri ili aolewe na hao wanaume au hao au anataka nini hasa ?
 
Hivi kweli mwanaume mzima unaamka na hilo, usipoangalia utakuwa shoga manake unakokwenda siko, shauri yako.
 
Hahahahaha! We unaongelea mafuta?? Mbona mbali hvyo?? Hela ya vocha anasubir bmkubwa ampe. Utasikia aaah baby cm imeishiwa, nasubr bmkubwa aje anrecharge au baby kama vp nirecharge wewe basi!...lol...
Kwel kabsa hata mademuwa Dar Kwa miZINGA NI NOMAAAAAAAAAAAA
 
wanaume wa dar( sio wote ila asilimia kubwa) ni masharobaro balaa, kaz yao kubwa ni kuoga, kupaka powder, lip shine, na kukaa kijiweni! Wanapenda kuomba vocha hao..hawapendi kazi!
Taratibu tu tutafika...........

ugomvi huo

Sio ugomvi, huo ndo ukwel. Ogopa mwanaume akiongea maneno 10, 9 lazma amtaje bmkubwa. Hawapend kujitegemea. Wanapenda kujiremba tu mda wote. Wachache sana ndo wapo kiume!
Utawatambua kwa maneno..........

watoto wa arauchuga wengi wao utasika anasema natak nimwachae prado mamaa mi ninunue mkonge,wa daa utasiki nyie nendeni tu na bajaji mshua kabana ufunguo hata bi mkubwa mwenye hajakubali kutoa hela ya mafuta.

Tafakar then chagua mwenyewe.

Hahahahaha! We unaongelea mafuta?? Mbona mbali hvyo?? Hela ya vocha anasubir bmkubwa ampe. Utasikia aaah baby cm imeishiwa, nasubr bmkubwa aje anrecharge au baby kama vp nirecharge wewe basi!...lol...
Huhitaji kutafakari zaidi ya kukonkludi kuwa huyu mtoto wa kiarusha ameshalizwa na mutoto ya mujini...........Ukizaliwa Daslam ni sawa na form six aliyezaliwa Arusha. (Chonde chonde sijamaanisha wanaoishi bali waliozaliwa, msimtukane babu yenu, mtalaaniwa)

wanaume wa DaR wapo juu.dar ni chuo kikuu cha maisha.kama anaishi dar basi mheshimu sana.mia
Mia...Mia...Elfu..Elfuu...Laki...Laki....Milioni...Milioni!
 
oooh Wait,
hii siwezi kuiacha ipite.........
Nimeishi Arusha Na moshi kwa muda mrefu sana ndo nilipozaliwa na kusomea.....ila kwa sasa naishi Dar,Tufahamu kabisa kuwa kila wanaume wa kila mkoa wana tofauti,hii inatokana na mila ,mazingira na hata malezi,pia na majirani,wakati nikiishi arusha na Moshi nilikua nikidharau sana wanaume wenzangu wa dar (na hii ni kila mtu anaeishi moshi na arusha anafanya) nilikua nawaona soft,wanajiremba,masharobaro na wako kama wanawake hv,hii inatokana na ubabe,ukorofi,majigambo na ukorofi niliokua nao (wengi wa moshi na arusha wapo hivyo) lakini pia nilikua najua watu wa dar hawana hela kama Arusha,ila nilijua matajiri wengi wa dar wameoriginate Arusha au moshi...

Then Nikahamia Dar,
Ilinibidi kubadilisha attitude yangu,watu wa Dar hawana ubabe na hasira za faster,wana connection na atleast kila kitu,cash ipo dar nyingi kuliko arusha,na pia watu wa hapa wako real kwenye biashara kama ni biashara hamna sound na longo longo kama arusha na Moshi,pia nilinote kuwa matajiri na wenye hela wapo dar,hapa dar ukileta ubabe wako wa arusha au moshi unaweza kufungwa hata maisha...ila arusha itakua ni kuchomana visu au visasi vya kuuana...

Mwisho,
Arusha kuna madini,Ardhi yenye rutuba,UN wapo pale,Mlima kilimanjaro then na biashara ya utalii,maisha yapo juu sana lakini mzunguko wake wa hela ni mkubwa si kama mbeya ,tabora na mikoa mingi ya tanzania lakini kiukweli Dar hailingani na arusha kwa chochote, Dar Hamna kitu zaidi ya bahari,watu hawalimi chochote lakini sijawahi kusikia Kuna njaa hapa dar,utaskia Sumbawanga,Rombo na kwingineko wakati huko ndo kuna mashamba ya vyakula.....

kwa Ushauri wa wanaume wa Moshi na Arusha,
Wajiulize kwa nini mtu wa arusha au Moshi au arusha Akijaribu biashara au maisha hapa dar huwa harudi huko tena anahamia moja kwa moja!

Najua PJ atakuja hapa ila wanaume wa Dar ni kiboko ya wale wa Arusha-Pls Note mi ni mwanaume wa Arusha.

Nawakilisha
 
Mwanaume kama asili yake ilivyo ni mwanaume tu,na hasa wa kiafrika wote ni sawa,mwanaume anageuka kitandani....,tofauti kama zipo ni za kuumbwa.
 
Mtu mwenye akili na ufahamu usio na mashaka hawezi kucomment kwenye hii thread kama atakavyo mtoa mada kwani utajikuta unatukana kama siyo baba yako basi , mama, dada ,kaka na hata mjomba wako anayeishi Dar au Arusha. Nasema hivi kwa sababu kama niko Arusha na ninatoa comment hasi kwa wanaume wa Dar mimi ni mpumbavu kwa sababu pamoja na kuwa Ar lakini Dar kuna ndugu zangu weengi. Siwezi kuwa mnafiki na kuanza kutukana ndugu zangu walioko Dar mimi au uliyeko Dar uanze kutukana wanaume wa Arusha ukijumuisha ndugu zako waishi huku Ar.

Hii thread imekosa MASHIKO NA IKO KIMTAZAMO FINYU SANA YAANI SHORTSIGHTEDNESS SANA.
mbona unatumia maguvu kulazimisha hoja wakati tupo kwenye chit-chat?
Mod mbona hawaifuti kama imekaa vibaya?
Mimi nimeuliza swali tu na sijatoa comment mpaka sasa au wewe wa ............ nini?
 
Mkuki kwa ngurue kwa binadamu mchungu. Mi nadhani nimemwelewa vizuri mtoa mada, kikubwa hapa alitaka kuona reaction ya wanaume pale inapotokea kujadiliwa hapa. Kwani kuna mada za kujadili wanawake wa sehem mbali mbali, na watu wakachangia na kufurahia. Leo zamu yenu mnasema sredihaina mashiko. Sidhani kujadili hili linashusha hadhi ya Jf, no! Kwani humu kuna majukwaa tofauti, yanayojadili mambo tofauti ambayo kila mtu anaingia kule kwenye interest yake. Kwa mfano, mimi sijawahi kuingia kule kwa Celebrities, sasa wewe unajichanganya, unaenda kwenye jokes kisha unategemea kupata facts infos! Haiwezekani.
Pia kumsifia mtu sio kumtusi, kama mzuri mzuri tu, na kama mbaya mbaya tu hata akiwa ndugu yako.
be blessed!
jamaa kama vile hana macho as hapa JF kuna sredi kibao za kuwachambua wadada sasa leo nataka tuwachambue wakaka wa AR/DAR inakuwa ugomvi.
Asante kwa kunielewa.
 
Thread kama hizi kuendelea kjadili ni kupoteza muda , aliyeitoa anaomba ushauri ili aolewe na hao wanaume au hao au anataka nini hasa ?
mbona unajishtukia wewe wa wapi?DAR/AR?
Kama unajionea aibu
 
Taratibu tu tutafika...........

Utawatambua kwa maneno..........

Huhitaji kutafakari zaidi ya kukonkludi kuwa huyu mtoto wa kiarusha ameshalizwa na mutoto ya mujini...........Ukizaliwa Daslam ni sawa na form six aliyezaliwa Arusha. (Chonde chonde sijamaanisha wanaoishi bali waliozaliwa, msimtukane babu yenu, mtalaaniwa)

Mia...Mia...Elfu..Elfuu...Laki...Laki....Milioni...Milioni!

hapo red:Kumbe ndio sababu kawachana vile?
 
oooh Wait,
hii siwezi kuiacha ipite.........
Nimeishi Arusha Na moshi kwa muda mrefu sana ndo nilipozaliwa na kusomea.....ila kwa sasa naishi Dar,Tufahamu kabisa kuwa kila wanaume wa kila mkoa wana tofauti,hii inatokana na mila ,mazingira na hata malezi,pia na majirani,wakati nikiishi arusha na Moshi nilikua nikidharau sana wanaume wenzangu wa dar (na hii ni kila mtu anaeishi moshi na arusha anafanya) nilikua nawaona soft,wanajiremba,masharobaro na wako kama wanawake hv,hii inatokana na ubabe,ukorofi,majigambo na ukorofi niliokua nao (wengi wa moshi na arusha wapo hivyo) lakini pia nilikua najua watu wa dar hawana hela kama Arusha,ila nilijua matajiri wengi wa dar wameoriginate Arusha au moshi...

Then Nikahamia Dar,
Ilinibidi kubadilisha attitude yangu,watu wa Dar hawana ubabe na hasira za faster,wana connection na atleast kila kitu,cash ipo dar nyingi kuliko arusha,na pia watu wa hapa wako real kwenye biashara kama ni biashara hamna sound na longo longo kama arusha na Moshi,pia nilinote kuwa matajiri na wenye hela wapo dar,hapa dar ukileta ubabe wako wa arusha au moshi unaweza kufungwa hata maisha...ila arusha itakua ni kuchomana visu au visasi vya kuuana...

Mwisho,
Arusha kuna madini,Ardhi yenye rutuba,UN wapo pale,Mlima kilimanjaro then na biashara ya utalii,maisha yapo juu sana lakini mzunguko wake wa hela ni mkubwa si kama mbeya ,tabora na mikoa mingi ya tanzania lakini kiukweli Dar hailingani na arusha kwa chochote, Dar Hamna kitu zaidi ya bahari,watu hawalimi chochote lakini sijawahi kusikia Kuna njaa hapa dar,utaskia Sumbawanga,Rombo na kwingineko wakati huko ndo kuna mashamba ya vyakula.....

kwa Ushauri wa wanaume wa Moshi na Arusha,
Wajiulize kwa nini mtu wa arusha au Moshi au arusha Akijaribu biashara au maisha hapa dar huwa harudi huko tena anahamia moja kwa moja!

Najua PJ atakuja hapa ila wanaume wa Dar ni kiboko ya wale wa Arusha-Pls Note mi ni mwanaume wa Arusha.

Nawakilisha

sasa wewe umeambiwa uzungumzie natural resources mara milima,ardhi,parks?
By the way Nimeupenda sana uchambuzi wako umeweka ukweli flani hivi machalii ni wakorofi wakati wa dar ni easy going.
Mimi nilitaka hasa social behaviour zao na vitu kama hivyo.
Kuhusu kwa nini machalii hawarudi ARUSHA:ukweli AR pagumu sana kama michongo imepinda,shangaa leo tembelea pori huko mbali ya Moro sijui kisaki,kindumbe utawakutaa machalii just bcs kuna unafuu wa maisha.
Wahindi wanaiona TZ kama Newyork hushangai?
 
Back
Top Bottom