Wanaume wa ARUSHA na Dar wapi wakali/wa maana?

wanaume wa dar( sio wote ila asilimia kubwa) ni masharobaro balaa, kaz yao kubwa ni kuoga, kupaka powder, lip shine, na kukaa kijiweni! Wanapenda kuomba vocha hao..hawapendi kazi!

Nakubaliana na wewe kabisa wengi marioo! Arusha ni wafanya kazi sana na husband material yaani wanajua wameumbwa kuja duniani kulea familia zao na jamii, ni kawaida ukakuta mtt wa kiume in teenage age amesimama katika biashara na anajua anataka nn maishani. Wa Dar wameamua kuuza uanaume wao kwa kupewa pewa tuu kw akisingizio tuko wengi so we have to buy them! Pia Dar wako soft sana kuhussle kwao ataa ni kazi za viyoyozi zaidi ambazo mapato yake yake ni end 60!
 
Thread kama hizi kuendelea kjadili ni kupoteza muda , aliyeitoa anaomba ushauri ili aolewe na hao wanaume au hao au anataka nini hasa ?

Life is nt serious alwayss we need relaxation kwa kusoma mada ambazo siyo seriaz kiivyo, binafsi will go for A town dude! Si kwamba issue fulani ikijadiliwa kuwa wootee wanafall huko yes niko Dar pia A town ila the fact is wakaka wa A town wanafikiria tofauti sana na wa Dar! Chukua mfano hai tuu maandamano yale ya A town waloongoza wengi wakaka ila Dar wengi wapo maofisini kwenye keyboard zao na internet za bure za ofisi wanawaambia wenzao tukusanyike! Mezeni hilo kama lilivyo!
 
siruhusu kukandiana in dis sredi.
 
Wote wanaosema thread haifai waondoke. thread tele zinaanzishwa kuhusu wanawake mara wamoto, makabila, wanachakachuliwa na kadhali zinachangiwa kwa raha zao.

Wanaume wa arusha wanafahamu kujituma kimaisha. Wanaume wa dar michosho sana kazi kubwa kujipodoa na kuendesha magari ya mademu wao wengi watoto wa mama.

Arachuga naikubali.
 
oooh Wait,
hii siwezi kuiacha ipite.........
Nimeishi Arusha Na moshi kwa muda mrefu sana ndo nilipozaliwa na kusomea.....ila kwa sasa naishi Dar,Tufahamu kabisa kuwa kila wanaume wa kila mkoa wana tofauti,hii inatokana na mila ,mazingira na hata malezi,pia na majirani,wakati nikiishi arusha na Moshi nilikua nikidharau sana wanaume wenzangu wa dar (na hii ni kila mtu anaeishi moshi na arusha anafanya) nilikua nawaona soft,wanajiremba,masharobaro na wako kama wanawake hv,hii inatokana na ubabe,ukorofi,majigambo na ukorofi niliokua nao (wengi wa moshi na arusha wapo hivyo) lakini pia nilikua najua watu wa dar hawana hela kama Arusha,ila nilijua matajiri wengi wa dar wameoriginate Arusha au moshi...

Then Nikahamia Dar,
Ilinibidi kubadilisha attitude yangu,watu wa Dar hawana ubabe na hasira za faster,wana connection na atleast kila kitu,cash ipo dar nyingi kuliko arusha,na pia watu wa hapa wako real kwenye biashara kama ni biashara hamna sound na longo longo kama arusha na Moshi,pia nilinote kuwa matajiri na wenye hela wapo dar,hapa dar ukileta ubabe wako wa arusha au moshi unaweza kufungwa hata maisha...ila arusha itakua ni kuchomana visu au visasi vya kuuana...

Mwisho,
Arusha kuna madini,Ardhi yenye rutuba,UN wapo pale,Mlima kilimanjaro then na biashara ya utalii,maisha yapo juu sana lakini mzunguko wake wa hela ni mkubwa si kama mbeya ,tabora na mikoa mingi ya tanzania lakini kiukweli Dar hailingani na arusha kwa chochote, Dar Hamna kitu zaidi ya bahari,watu hawalimi chochote lakini sijawahi kusikia Kuna njaa hapa dar,utaskia Sumbawanga,Rombo na kwingineko wakati huko ndo kuna mashamba ya vyakula.....

kwa Ushauri wa wanaume wa Moshi na Arusha,
Wajiulize kwa nini mtu wa arusha au Moshi au arusha Akijaribu biashara au maisha hapa dar huwa harudi huko tena anahamia moja kwa moja!

Najua PJ atakuja hapa ila wanaume wa Dar ni kiboko ya wale wa Arusha-Pls Note mi ni mwanaume wa Arusha.

Nawakilisha
Naunga mkono hoja isipokuwa hapo kwenye Red.....Mlima Kilimanjaro hauko Arusha.......Ntakushtaki kwa babu yangu usipotutaka radhi waumini wa mbege..........Mlima wetu unawamilikisha waarusha, wameru na wamasai? Ote Mangi!

Mwanaume kama asili yake ilivyo ni mwanaume tu,na hasa wa kiafrika wote ni sawa,mwanaume anageuka kitandani....,tofauti kama zipo ni za kuumbwa.
Hawapendi kulielewa hili mkuu.....yaani kama mimi niko Dar, nikihamia Arusha nakuwa muarusha....LOL.....nakuwa ngangari, nakuwa chalii, nakuwa mwanaapolo na mfanyabiashara tokea Rombo.

Hapo umenena sina cha kuongeza
Inahuuuuuu...ndembendembe...lakhi si pesa!

hapo red:Kumbe ndio sababu kawachana vile?
Ukiona mtu anauogopa unyasi, ujue alishang'atwa na nyoka!

Nakubaliana na wewe kabisa wengi marioo! Arusha ni wafanya kazi sana na husband material yaani wanajua wameumbwa kuja duniani kulea familia zao na jamii, ni kawaida ukakuta mtt wa kiume in teenage age amesimama katika biashara na anajua anataka nn maishani. Wa Dar wameamua kuuza uanaume wao kwa kupewa pewa tuu kw akisingizio tuko wengi so we have to buy them! Pia Dar wako soft sana kuhussle kwao ataa ni kazi za viyoyozi zaidi ambazo mapato yake yake ni end 60!
Hahahaha...angalia mama watakupiga wanaapolo......au unamaanisha biashara gani hiyo ya kusimama?.....
Hahaha......Dar wako soft? kwenye nini? ................Hahaha Bongo kama New York siyo........Ikilu iko Dar, CHADEMA iko Dar, Benki kuu iko Dar, Mabalozi wako Dar, Bahari iko Dar, Wazee wa Bandari wako Dar, Mabaharia wako Dar, Kariakoo iko Dar, Makuli wako Dar, TBL iko dar, SBL iko Dar, Simba iko dar, Yanga Iko Dar.............Ukikutanisha dots zote hizo utaona kuwa WANAUME wako Dar.

siruhusu kukandiana in dis sredi.
Umeona eh?
 
inamaana chalii ni bora kuliko sharobaro?
bora chalii! Mmh! Hata sijui mwaya. Unajua tabia hazisababishwi na mazingira tu na ni ngumu kusema wa wapi mzuri kuliko wa wapi maana maeneo mengi wamechanganyika watu kutoka sehemu mbali mbali. Ceteris peribus Kwangu mimi mwanaume wa maana ni yule anayejitambua, kujiheshimu, kujijali na kuwajali wengine .
 
Wote wanaosema thread haifai waondoke. thread tele zinaanzishwa kuhusu wanawake mara wamoto, makabila, wanachakachuliwa na kadhali zinachangiwa kwa raha zao.

Wanaume wa arusha wanafahamu kujituma kimaisha. Wanaume wa dar michosho sana kazi kubwa kujipodoa na kuendesha magari ya mademu wao wengi watoto wa mama.

Arachuga naikubali.
....

.....mbona mara ya mwisho kutembelea so called A-Town niliwaona wako busy kutafuna mirungi?
 
sisi wa arusha hatuna unafiki, ni wakweli kuhusu kile tunachoona ni sawa. Alaf machalii wa Atown hawaogopi kitu, yaani msichana akiwa na boyfriend wake full usalama. Na tunajituma sana kufanya kazi, hiphop pia unachangia kushape maisha yetu.
 
chuga town tuko real hatuna maneno mingi (mboyoyo) ka hao wa Dar too much mdomo wanachonga saana vitendo hamna, huku full action ka chalii akisema anakuharibia ni kweli anafanya sio maneno. Afu si tuna mapenzi ya kweli, we jaribu kuangalia vyuoni relation za wanaume toka chuga town na dsm zikoje afu mtaelewa nasema nini
 
babu unavyoongea tu katika keyboard unaonekana kiza!!!!!!
 
wanaume wa dar( sio wote ila asilimia kubwa) ni masharobaro balaa, kaz yao kubwa ni kuoga, kupaka powder, lip shine, na kukaa kijiweni! Wanapenda kuomba vocha hao..hawapendi kazi!

mmmmh sweetlady tutake radhi bana lol
 
Naunga mkono hoja isipokuwa hapo kwenye Red.....Mlima Kilimanjaro hauko Arusha.......Ntakushtaki kwa babu yangu usipotutaka radhi waumini wa mbege..........Mlima wetu unawamilikisha waarusha, wameru na wamasai? Ote Mangi!

Hawapendi kulielewa hili mkuu.....yaani kama mimi niko Dar, nikihamia Arusha nakuwa muarusha....LOL.....nakuwa ngangari, nakuwa chalii, nakuwa mwanaapolo na mfanyabiashara tokea Rombo.

Inahuuuuuu...ndembendembe...lakhi si pesa!

Ukiona mtu anauogopa unyasi, ujue alishang'atwa na nyoka!

Hahahaha...angalia mama watakupiga wanaapolo......au unamaanisha biashara gani hiyo ya kusimama?.....
Hahaha......Dar wako soft? kwenye nini? ................Hahaha Bongo kama New York siyo........Ikilu iko Dar, CHADEMA iko Dar, Benki kuu iko Dar, Mabalozi wako Dar, Bahari iko Dar, Wazee wa Bandari wako Dar, Mabaharia wako Dar, Kariakoo iko Dar, Makuli wako Dar, TBL iko dar, SBL iko Dar, Simba iko dar, Yanga Iko Dar.............Ukikutanisha dots zote hizo utaona kuwa WANAUME wako Dar.

Umeona eh?

Haaaah haaah mkuu umenena Bongo ndo Tz.
 
Back
Top Bottom