Wanaume uwezo umeshuka?

attachment.php
 
wanaume mnashangaza sana hv unafikiriaje eti nitamridhishaje mtu wakati hata huna experience naye.ina maana ujajijua una tatizo na sio wanawake wana tatizo.msitusingizie

Ndo hapo lazima ujiulize nitafanyaje niongeze ujuzi gani above what i have na gari hilo lina speed ngapi maana huwezi panda mlima wakati hujajua kuw agari yako itaweza kpanda ule mlima au gari yako inaiona dhoofu then unaenda panda kitonga
 
Kwani mwanaume anakuw amwanaume bila ile nguvu
Akili anabaki nazo ila sio mwanaume tena huyo mbele ya wanaume
aaha wapi uanaume haupimwi kwa ngono bwana mwan aume busara na hekima duniani.sex ni kitu special sio jinsi mnaifanya nyie na ndo maana waganga wamewafanya dili soko limekubali
 
Ndo hapo lazima ujiulize nitafanyaje niongeze ujuzi gani above what i have na gari hilo lina speed ngapi maana huwezi panda mlima wakati hujajua kuw agari yako itaweza kpanda ule mlima au gari yako inaiona dhoofu then unaenda panda kitonga
kwanini in the first sight utumie kwanza ulichonacho kwanza then next time ndo uje ujazie?
 
aaha wapi uanaume haupimwi kwa ngono bwana mwan aume busara na hekima duniani.sex ni kitu special sio jinsi mnaifanya nyie na ndo maana waganga wamewafanya dili soko limekubali

juu ya kuwa na hivyo vyote unamuheshimu kule ndani mwako kwa kuwa ana uwezo huo maana asingekuwa nao bado ungeona kuwa umelala na mwanamke mwenzako na hiyo inaondoa ile heshima ya uanaume
 
kwanini in the first sight utumie kwanza ulichonacho kwanza then next time ndo uje ujazie?

Wasiojiamini ndo wanaenda kufuata konyagi na valuer ila wale ambao wana natural power hatuhitaji valuer wala konyagi popote ni kambi
 
aku babu kuuuuuuuuuubwa kama ya kwako
<br />
<br />
ujuzi wa kujua nini unafanya kwa nini, pia upunguze dharau kama si woga kwa mwenzio, kujituma/kujishughulisha ipasavyo wakati wa ku-do, kutokufika kibo itakuwa historia.
 
<br />
<br />
ujuzi wa kujua nini unafanya kwa nini, pia upunguze dharau kama si woga kwa mwenzio, kujituma/kujishughulisha ipasavyo wakati wa ku-do, kutokufika kibo itakuwa historia.
nikipata mume nitapractice iyo formular ngoja niisave
 
Kwa jinsi walivyosugu siku hizi, hata nusu saa ndogo.
Wenyewe hawaoni kuwa hilo ni tatizo.
hv kipofu anaeza mwongoza kipofu mwenzake? nyie wenyewe hata kama umekaa masaa 2 hamna kitu mnafanya ina maana gani usihesabu muda hesabu action -results babu eeh sio unakaa unakoroma na kulia kama mbuzi hapo mwee eti nimekaa pale kumbe wapi?
 
Back
Top Bottom