shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,794
- 13,474
Usitie ugumu,nadhani ni suala la muda Tu Kila kitu kitakuwa sawa!!!Ngumuu
Usitie ugumu,nadhani ni suala la muda Tu Kila kitu kitakuwa sawa!!!Ngumuu
Mtoto unaweza kumjua kama ni wako ama siyo wako bila DNA. Kuna mafeelings flan hivi. Ni uzwazwa na ubwege wa baadhi ya wanaume flani.Wazungu wame tuletea shida iyo DNA
Asamehe mara saba sabini , ila yeye Mungu hasamehi ni mwendo wa kuchomwa tuNa watoto wote ni WA mchungaji!
Shindii katika ubora wake🤣🤣Utalipwa na Mungu yupi mzee, ukipigwa umepigwa tu na hakuna utakachofanya zaidi ya kulalama tu kama nguruwe pori aliyepigwa mshale, ishi kimasta dunia haitaki wanyonge
Mwachi hata wewe!!Wanawake wana umiza sana hawana hata huruma ase
Now nawachukia
Shindii ukipigwa ndio imetoka hivyo, mpaka mke wako anazalishwa watoto watatu wewe ulikua wapi?Shindii katika ubora wake🤣🤣
Mtu anaamua kiroho safi tu kukupa uzao utakaoitwa kwa jjna lako then shetani anakudanganya ukapime DNA. Wanaume acheni hivi visebusebu. Ukute sample zilikosewa🙆♂️🙆♂️🙆♂️Hawa ni mtu na mkewe wa ndoa kabisa ambapa wamebahatika kupata watoto watatu kwenye ndoa yao lakini baada yakupima DNA imegundulika kuwa watoto wote watatu sio wa mwanaume huyu
Yani Mwanaume unateseka unadharaulika kuhakikisha familia yako inapata huduma na malezi bora kumbe unaishi na mtu ambaye hisia zake ni za Usaliti
Mungu awadhalilishe Wanawake wote wenye tabia kama hizi, kama humpendi bora umuambie mapema yani watoto wote watatu nje ya ndoa
INAUMA SANA, WANAUME TUKAE KIMYA DAKIKA MOJA KISHA TULIE KWA HILI
🥲😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭View attachment 3414397
Hamna huruma ata kidogo mtu ana kupenda kwa moyo wote wew una amua kumuumiza kisa nini? Imagen hujawai mcheatUsitie ugumu,nadhani ni suala la muda Tu Kila kitu kitakuwa sawa!!!
Ni kweliMtoto unaweza kumjua kama ni wako ama siyo wako bila DNA. Kuna mafeelings flan hivi. Ni uzwazwa na ubwege wa baadhi ya wanaume flani.
Si ndio hapo!! Kwanza amshukuru mkewe 🤣🤣Shindii ukipigwa ndio imetoka hivyo, mpaka mke wako anazalishwa watoto watatu wewe ulikua wapi?
Walevi sijui kwanini huwa mna busara sanaUtalipwa na Mungu yupi mzee, ukipigwa umepigwa tu na hakuna utakachofanya zaidi ya kulalama tu kama nguruwe pori aliyepigwa mshale, ishi kimasta dunia haitaki wanyonge
Yani moja , mbili, tatu, inawezekana mwamba ndie mchepuko , mwenye watoto ndio mume halali 🤔Si ndio hapo!! Kwanza amshukuru mkewe 🤣🤣
Hamna upendo na wala hamthamini matendo mazuri tunayo wafanyia kama upendo una jinyima una tenga mda kwaajili yake ata kama upo bise ila una panga ratiba ili tu yeye afurah ila hamuoniMwachi hata wewe!!
Tumekufanya nini kikubwa hivyo?
Inatakiwa iwekwe sheria kua kila mtoto atakayezaliwa ndani ya ndoa,iwe ni lazima mtoto apimwe DNA ili kuhakikisha kua ni wa Baba/Mume muhusika,
Ikiwekwe hii sheria,haya mambo yakubambikiwa yatapungua sana kama sio kuisha kabisa.