Wanaume tutalipwa mengi na Mungu

Wanaume tutalipwa mengi na Mungu

Kuna mwenzetu huku sijui atachomwa na magunia mangapi ya mkaa?
Yaani boss kajifanya rafiki WA mumewe kamuunganishia dili la kwenda huko Nchi za watu,huku nyuma bidada anatoka na bosi Hadi wamezaa mtoto mbaya zaidi mtoto na bosi Sura zao hazihitaji DNA na mahusiano Yao yameanza kitambo watu wote wanajua kasoro mumewe!!!
Tunasubiri msiba hapa Kati ya bosi,bidada na mwenye mke!!!
Mwanamke ndio chanzo una ona
 
Mitano tena kwa boss🤣🤣🤣
 
Hamna upendo na wala hamthamini matendo mazuri tunayo wafanyia kama upendo una jinyima una tenga mda kwaajili yake ata kama upo bise ila una panga ratiba ili tu yeye afurah ila hamuoni
Umejaribu kutenga na pesa?
 
Hawa ni mtu na mkewe wa ndoa kabisa ambapa wamebahatika kupata watoto watatu kwenye ndoa yao lakini baada yakupima DNA imegundulika kuwa watoto wote watatu sio wa mwanaume huyu

Yani Mwanaume unateseka unadharaulika kuhakikisha familia yako inapata huduma na malezi bora kumbe unaishi na mtu ambaye hisia zake ni za Usaliti

Mungu awadhalilishe Wanawake wote wenye tabia kama hizi, kama humpendi bora umuambie mapema yani watoto wote watatu nje ya ndoa

INAUMA SANA, WANAUME TUKAE KIMYA DAKIKA MOJA KISHA TULIE KWA HILI
🥲😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭View attachment 3414397
Thibitisha Mungu yupo.
 
Kipenzi chetu Hussain Ali 🥺
Nilijua tu😆😆😆

Mcheki mwamba hapo Chini

94df1a149846797.Y3JvcCwyMjMyLDE3NDYsNTA4LDA.jpg

N'yadikwa
 
Hamna huruma ata kidogo mtu ana kupenda kwa moyo wote wew una amua kumuumiza kisa nini? Imagen hujawai mcheat
🎵🎵🎵🎵Mpende akupeendaeee🎵🎵🎵Mpende akupeendaeee asiyekupendaaa achana nae🎵🎵🎵🎵🎵🎵
Ukitendwa hivyo ndo unakomaa kiakili na kimwili,kikubwa usije ukalipiza maumivu yako kwa wengine watakaofuata!
 
🎵🎵🎵🎵Mpende akupeendaeee🎵🎵🎵Mpende akupeendaeee asiyekupendaaa achana nae🎵🎵🎵🎵🎵🎵
Ukitendwa hivyo ndo unakomaa kiakili na kimwili,kikubwa usije ukalipiza maumivu yako kwa wengine watakaofuata!
Sitopenda tena
 
Ukute mume hana uwezo wa kuzalisha, mke kajiongeza ili mume asijione mnyonge🤣🤣
Walienda hospital? Je kama mayai haya kupevuka vizuri ikawa mbegu zikifika zina shindwa rutubisha yai vzr?
 
Mitano tena kwa boss🤣🤣🤣
Itafahamika Tu jamaa ukirudi na ajue kale katoto Sio kake🤗🤗🤗🤗
Wapishi wa chachandu la kulia Pilau msibani tupo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ukute mume hana uwezo wa kuzalisha, mke kajiongeza ili mume asijione mnyonge🤣🤣
Unakuta kamtunzia heshima kwa busara , ila vijana wa siku hizi hawana koromea shindii🚮
 
Back
Top Bottom