Wanaume tutalipwa mengi na Mungu

Wanaume tutalipwa mengi na Mungu

Walienda hospital? Je kama mayai haya kupevuka vizuri ikawa mbegu zikifika zina shindwa rutubisha yai vzr?
Halafu wa nje akaweza kurutubisha kwa miaka tofauti tofauti eeeh?
 
Itafahamika Tu jamaa ukirudi na ajue kale katoto Sio kake🤗🤗🤗🤗
Wapishi wa chachandu la kulia Pilau msibani tupo🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa atakuwa muelewa tu, yanazungumzika.
 
Unakuta kamtunzia heshima kwa busara , ila vijana wa siku hizi hawana koromea shindii🚮
Yaani hovyo kabisa. Unatunziwa heshima then unakwenda kufukunyua ya kufukunyua huko🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Huyo jamaa ameshalipwa kwa kitendo cha kugundua watoto si wake mapema..

Kabla hajafanya chochote
-Anauwezo wa kuzalisha?
-shahawa zake zina afya?

Maana huenda hawezi kuzalisha na mkewe amemfichia aibu.

Tofauti na hapo afanye maamuzi atakayoona yanafaa
 
Ulianza kuleta ugentleman Kwa sana ktk mahusiano tu you have to know you're doomed
Gentleman na real man hizo ni code names za simp. Muulize mwanamke gentleman au real man ni mwanaume wa aina gani uone jinsi atakavyokufafanulia simp
 
Back
Top Bottom