Wanaume tutafute hela, ni aibu kwa mwanaume kuishi kwa kuombaomba kwa watu ili uhudumie familia Yako ujue unatengeza kizazi cha laana

Joined
Mar 17, 2026
Posts
84
Reaction score
120
Mwanaume popote ulipo ujue kuwa unatakiwa u - hustle kutafuta hela bila kuchagua Kazi ya kufanya as long as itakuingizia kipato. Acheni ubishoo!

Hela za kuomba omba kwa watu hazijawahi kuwa na baraka, ujue hiyo laana inahamia kwenye ukoo wako na vizazi vyako vyote wataishi maisha ya kutembeza vifungashio.

Nimeshangaa eti mwanaume analalamika kulipia mchango wa chakula shuleni ambapo atakayekula ni mtoto wake, na ukimuangalia mlalamikaji daily anakesha anapiga watu vijembe humu jukwani... hopeless kabisa.
 
Oya una shida gani? Samahani lakini mengine mnayalazimisha wenyewe hivi huna namna nyingine ya kuwasilisha ujumbe kwa mtu mpaka ufanye character attack?
 
Oya una shida gani? Samahani lakini mengine mnayalazimisha wenyewe hivi huna namna nyingine ya kuwasilisha ujumbe kwa mtu mpaka ufanye character attack?
Hiyo tabia ya kuwatapeli watu kwa donation za wz IKOME kabisa
 
Siyo vibaya kupiga mizinga lakini isiwe tabia na mazoea. Kuna watu imekuwa tabia kuombaomba hela na kuona hela za wengine ni halali yao na wazipigia kabisa bajeti na mahesabu.

adriz de mbusii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…