Wanaume tupunguze kulalamika, kuhonga ni asili yetu

Wanaume tupunguze kulalamika, kuhonga ni asili yetu

hapo ngoma droo halafu jamaa anadai eti nisirudie kumfananisha binadamu na mifugo
Hilo jibu limenichekesha sana maana nilivyosoma uzi wako nikavuta picha flani hivi sasa wakati nasoma comment nikakutana na jibu juu ya jibu nikaishia kucheka
 
Wewe leta hoja inayoeleweka sasa unataka kufananisha binadamu na kuku? Au wewe ni kuku?
 
Uliyosema mdau mito ni kweli ila tatizo ni lugha uliyotumia yaani kuhonga nadhani ulikuwa unamaanisha jukumu la mwanamume ni kumhudumia mwanamke mahitaji yake ya msingi na si kumhonga. Unaposema kuhonga ina maana unamshawishi kwa kutoa mpaka senti yako ya mwisho ili kumridhisha wakati moyoni unawaza kitu kingine either umeumia kwa kukopa sehemu au unategemea kupata kitu flani kutoka kwake

Mkuu niliogopa kuiweka hivyo kwani wangedai hadi waoane ndo watabeba hizo responsibilities
 
Kuhonga raha bana..tena ndo ukute bi'dada anayejua 'kuchuna huku anakanda na maji ya moto'!

bhaeleze mkuu, wanalialia mpaka kero!!
 
we we weee ishia hapo hapo huu mfano mzur sana.shauri yenu na kilialia ovyo.ntaishia kuwaita wenzenu shemeji

majukumu hawapendi, papuchi wanaitaka! mi hapo ndo wananiachaga hoi
 
Teh Teh watu wana maneno mengi ya kujifariji!na kukwepa majukum yao!

Sijacoment hapa kukufurahisha wewe au mwingine nijifariji kwa lipi? Do you know my standard of living?

Mtoa mada ametoa mfano wa njiwa na mimi nimempa mfano wa Simba is it a big deal to you?
 
hapo ngoma droo halafu jamaa anadai eti nisirudie kumfananisha binadamu na mifugo

Hakuna jipya kwenye thread hii ni yaleyale ya kila siku na hata leo humu kuna thread nyingine with same content.

By the way am too old for this nothing new at all for me to pick from this thread.
 
Even before unatakiwa uwajibike tu kikubwa ukiwa mambo tight pia unakuwas mkweli

Sawa sawa mkuu, na kusema kweli ukiwa muajibikaji, hali ikiwa tight utaeleweka kirahisi tu! sasa ukiwa wa kulialia kutwa kucha ndo majanga hayo
 
Nimecheka sana kwa huo mfano wako wa kuku.umenikumbusha mbali nilipokua nafuga kuku,hiyo kweli ni tabia ya jogoo,anaweza kufukua fukua chini akapata mdudu akamuitia tetea,jogoo anajua kuhonga mkuu.
haki sawa kwa wote...

1506487_676185475752483_4614799421101386159_n.jpg
 
Hakuna jipya kwenye thread hii ni yaleyale ya kila siku na hata leo humu kuna thread nyingine with same content.

By the way am too old for this nothing new at all for me to pick from this thread.

Kweli kabisa hata mimi niliiona, nadhani ni ya Blue G kama sikosei, ila the key point I wanted to raise is that the 'thing' has its long way from nature, similar to what I observed from the cock this morning, and of course from other male animals

Il pia Matola tusisahau kuwa matatizo mengi ya relationships yana-revolve around cheating and responsibilities, so si vibaya topics kama hizi zikaendelea over and over again, amini usiamini kuna atayejifunza kitu through this repetition even if they might seem boring to some of us!
 
Last edited by a moderator:
Hattuwezi kuishi kama wanyama...binadamu wana akili na utashi....ndo maana unaweza kuhonga na mapenzi usipewe akapewa asiehonga.......
 
nimesoma coment zote but kwa mtazamo wangu kila kitu kina gharama zake hata mahusiano pia
kwa hiyo usipo mpa pesa kama kiwezesho cha kufanikisha baadhi ya mahitaji yake "ke atatafuta njia nyingine rahisi yakuzipata
so ili kusastain ni bora ukampa then mambo yakaenda sawa lasivo utalalamika unagongewa
 
Kuna madem wengine wanapenda kupewa ela lakn lakin ukitaka kuwaomba OPEN STRUCTURE wanazingua. sasa inakuaje apo
 
Back
Top Bottom