Mkuu niliogopa kuiweka hivyo kwani wangedai hadi waoane ndo watabeba hizo responsibilities
sasa mbona hapa umejichanganya..so unajua dhahiri kuwa mwanaume anatakiwa aoe ndio ahudumie sio kuhonga.
Mkuu niliogopa kuiweka hivyo kwani wangedai hadi waoane ndo watabeba hizo responsibilities
kijana acha mbwembwe,, ww unatafuta ujiko tu. Wala huna lolote
Anajitangaza kuwa yeye ni muongaji mzuri kiaina.
sasa mbona hapa umejichanganya..so unajua dhahiri kuwa mwanaume anatakiwa aoe ndio ahudumie sio kuhonga.
Kuna madem wengine wanapenda kupewa ela lakn lakin ukitaka kuwaomba OPEN STRUCTURE wanazingua. sasa inakuaje apo
alafu mfano wako pia unaonyesha by nature vidume lazima wagegede wanawake wengi sasa mbona wanawake hawataki kukubali hiyo nature
Bora umeliona hilo japo vidume vinapinga...ila likija swala la kuwa na wanawake wengi utaskia hiyo ni nature!!!
pambaffff...
Anajitangaza kuwa yeye ni muongaji mzuri kiaina.
siyo hivyo mkuu, penye ukweli lazima tuusimamie, ngoja nimwite Tyta aje na database yangu uone kama mimi mtu wa mbwembwe au mpenda sifa za kijinga