Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,530
- 6,126
watu wanatofautiana wapo wanaopenda hivi,kwani hujawahi sikia mtu anamtuma mkewe akabebe mimba nje kutunza heshima ya familiaMimi sibishi bali namshangaa huyo anayejiita mwanaume anayekubaliana na kitu kama hicho.
kabisa mkuusilaha yao kubwa ni midomo yao.......wanaume yetu maamuzi kimya kimya.... na mwisho wa siku suluhu ni ya watu wawili tuuuu.... sijui vikao vya usuluhishi ni umbea tuu...
Unataka unigombanishe na MwananguKisa cha mie kupigwa ban nini?
Heshima gani sasa hapo imetunzwa!! Ili nani akuheshimu na ili iweje!! Ndivyo zile akili mliambiwa mtumie zinapoishia?!!!watu wanatofautiana wapo wanaopenda hivi,kwani hujawahi sikia mtu anamtuma mkewe akabebe mimba nje kutunza heshima ya familia
Sio mimi ila yapo,so endelea kutembea na kukua uujue ulimwenguHeshima gani sasa hapo imetunzwa!! Ili nani akuheshimu na ili iweje!! Ndivyo zile akili mliambiwa mtumie zinapoishia?!!!
Nowonder basi!
Mie nimemuita tu ajeakusalimie, mkigombana mjue mliplan.Unataka unigombanishe na Mwanangu
Dogo unadhani unaongea na mtoto mwenzio!!Sio mimi ila yapo,so endelea kutembea na kukua uujue ulimwengu
Kama ni hivyo mnapata dawa yenu, kama mtu ametegeshea, amebeba kisa apate hela za jamaa, aolewe nk, huyo ni mbululaz tu ngoja akili imkae sawa maana hamna namna nyingine.wanawake wengi tunaachia tupate mimba kwa sababu mbalimbali.wengi tunategesha mimba ili kuolewa,wengine tunategesha kwa mwanaume wenye hela tukidhan kuwa nikizaa nae ndo nitakula hela yake vizur.wengine umri umeenda anaamua kuzaa na mwanaume yeyote ilimradi naye apate mtoto wake.kwa wale waopata mimba kwa bila malengo wengi wao huwa niwale wanafunzi wenye umri mdogo ambao hawajui kujikinga.migogoro yote ya kuachiwa mtoto inatokea baada ya malengo ya kupata mimba hiyo kutotimia.wanaume wengi wanapenda raha ya kavukavu lakini wakisikia mimba kwaheri,wako radhi wamchukue mtoto akalelewe na mkewe au mama yake kuliko kumpa mtu aliye zaa nae hela ya matunzo kwa kuwa anajua akitoa hiyo hela na wewe mama mtu utakula hiyo hiyo.jambo lingine kunawanaume wengine wako tayar kuhudumia lakini hayo matumizi yanayoomba kwa ajili ya mtoto ni makumbwa kuliko hata matumizi ya nyumbani kwake na familia yake yenye idadi kubwa ya watu,yaani tunakuwa kama tunawakomesha wanaume kwa kudai matumizi makubwa mwisho wake wanaamua kukimbia au kukana watoto.tujirekebishe tukijiachia kupata mimba tujiandae na kulea na kumtunza mtoto.tusifanye mtoto kama kitega uchumi.hii itatusaidia kupunguza strees,nakuishi kwa amani.
sasa kama unajua yapo na wewe ni jitu zima unashangaa nini,kwani ukikiri kua hujui kitu kuna tatizo?Dogo unadhani unaongea na mtoto mwenzio!!
Najua yapo na ndio hayo ninayoyashangaa kama ndio wanaume hao basi imbombo ngafu.
Heaven Sent njoo mwanangu uone maajabu ya dunia.Mahusiano ya kimapenzi yakivunjika ujue mwanamke ndiyo tatizo. imeandikwa "mwanamke mpumbavu huivunja ndoa kwa mikono yake mwenyewe"
hii ndiyo kusema kuwa, kama mwanamke umesimama imara hata mwanaume awe chizi kiasi gani atapoa tu.
shida wadada wa siku hz mnadhani kukata mauno, kubugia dushelele na kugawa 071..ndiyo mapenzi. damn shit!!
mwanaume akitaka kuzaa na wewe atakwambia tuu.na mtapanga pamoja suala hilo lakini ukiamua mwenyewe mwanamke ujue hilo lako.usilaumu mtu we lea
Mwanamke unatakiwa uwe smart pia, usichukue mimba huku ukiwa unamtegemea mtu asiyeeleweka na sio mume... au kuwa na kazi ya kukupa kipato cha kumtunza mwanao kabla ya kuchukua mimba nje ya ndoa.. japo wanaume wana makosa ila mnaweza kupunguza extent ya watoto kulelewa kwenye umasikini kwa kuwa makini
Makosa yanaweza kuwa ya mwanamke,mwanaume au wote wawili lakini athari kubwa inakuja kwa mwanamke na mtoto..So wadada muwe makini..Sio kila mlowekaji ni mfuaji..Wengine wanaloweka tu na kuendelea na shughuli zao..
Hii ishu ikishatokea cha msingi ni sapoti kutoka kwa familia yako, ni hiko tu ndiyo kitafanya makosa yaliyotokea usiyajutie sana.
Mwanaume anayesusa mtoto huku wewe uko sawa kwa kila kitu ni utoto umemshika anajiona kuna vitu hajamalizia.