Wanaume tunarogwa sana na hawa wanawake

Hii nchi hatuwezi gundua kitu sababu ya kulogwa. Mtuonee huruma na ukizingatia kanisani hatuendi
kanisani hatuendi,misikitini hatuendi,kwa waganga hatuendi hata mila hatuna lazima turogeke sana du
 
Ooooiii akulogee nani mwenyewe kapurwaaaa na bado kibamia na haitosh unagovi na kama vilee tena una......

Hakuna tunguli wala kibuyu ni maujuzi tuu...
 
ahahahah jamani niulize na hao waganga wapo manake sikuizi kila kona mpaka kwenye maguzo ya umeme unakuta matangazo mganga,anatibu,kumtuliza mume hasharati,kunyanyua nyota,kumvuta mpenzi alokua mbali,kupanda cheo kazini,kurejesha heshima ya ndoa,kumuinamisha mume/mchuchu.. yani matangazo mpaka unacheka..

mimi mpenzi wangu katorokea sayari ya Jupiter, natafuta mganga wa kumvuta mpenzi wangu toka sayari ya jupiter arudi duniani tuwowane
 
Heri yako umelijua hilo bila shaka umetulia njia kuu moja, maana wenye njia kuu nyingi pamoja na vijimichepuko ni sheedah!
 
Ooooiii akulogee nani mwenyewe kapurwaaaa na bado kibamia na haitosh unagovi na kama vilee tena una......

Hakuna tunguli wala kibuyu ni maujuzi tuu...
leo tumeachana ndio unasema nina govi wakati umelinyonya sana mbona wewe umekeketwa na sisemi kitu
 
mimi mpenzi wangu katorokea sayari ya Jupiter, natafuta mganga wa kumvuta mpenzi wangu toka sayari ya jupiter arudi duniani tuwowane
wanadai wana hadi dawa ya kujiunga free mason
 
Mnarogwa 7bu hamjatulia na hamtaki kutulia kwenye ndoa na ht mahusiano, nan anapenda kuchapiwa?! Endeleeni kuchepuka mtarogwa saana!
 
Back
Top Bottom