ushindani wa namba umekuwa mkubwa sana matokeo yake wakina dada na wakina mama wamemua kutafuta plan B nayo si nyingine ni kutuchawia,tunarogwa sana ,tunalishwa vitu vya ajabu,wateja wakubwa wa waganga ni hawa wanawake unadhani wanafuata nini tunarogwa sana
Me Nasemaga Sikuzote Mwanamke Siyo Mtu Mzuri Kabisaa Tena Muuaji
mtuonee huruma jamani wengine tuna familia zinatutegemea du
Hahahh waganga nao ni wajanja ..Mngekuwa mnalogwa sana wengi wenu mngekuwa mmetulia na wake/wapenzi wenu bila mbwembwe za nyumba ndogo na michepuko kila mahali.
Hivyo vitu mnaweza mkawa mnalishwa kweli ila vitakuwa havifanyi kazi,au pengine mmekomaa kiasi kwamba hamlogeki tena. Maana mtu hawezi kuwa na mke aliyemloga bado akamtafutia nyumba ndogo, nyumba ndogo nae amloge na bado akatafuta na mchepuko mwingine.
ushindani wa namba umekuwa mkubwa sana matokeo yake wakina dada na wakina mama wamemua kutafuta plan B nayo si nyingine ni kutuchawia,tunarogwa sana ,tunalishwa vitu vya ajabu,wateja wakubwa wa waganga ni hawa wanawake unadhani wanafuata nini tunarogwa sana
Kaka, mara ya mwisho kutongoza ilikuwa lini?
ushindani wa namba umekuwa mkubwa sana matokeo yake wakina dada na wakina mama wamemua kutafuta plan B nayo si nyingine ni kutuchawia,tunarogwa sana ,tunalishwa vitu vya ajabu,wateja wakubwa wa waganga ni hawa wanawake unadhani wanafuata nini tunarogwa sana
Wakati mwingine hii siyo sababu ila ni wanawake kutojiamini. Baadhi wamekutwa na mauaji ya waume zao na kutengwa na jamii. Maana hujui chemical contents ya dawa anakupa mganga. sijui kwanini mnaweka imani kwa waganga na kuwapa nguvu wasizositahili. Wengine mnaishia kuingiliwa kimwili na waganga wa kienyeji mkiwa bado mnaamini ndo dawa inavyofanya kazi. kumbe hata hapi nawe ushachepuka, kitu unachopigania kwa mwenzi wako.
Mngekuwa mnalogwa sana wengi wenu mngekuwa mmetulia na wake/wapenzi wenu bila mbwembwe za nyumba ndogo na michepuko kila mahali.