Wanaume tunakwama wapi katika hili??

Wanaume tunakwama wapi katika hili??

Hahahaa wallah mapenzi hayaba bondia,lakini ukishakua na maisha yako ukaendelea nayo ile gap wanaiona sema kukurudisha ndio ngum mtu anaugulia moyon
Tena yanakua yanapata biichwaaa!! Shenzy kabisa
 
Hahahah

Hivi najiulizaga ilikuaje kuomba msamaha ile shida..maana khaa!!ptuuu
Hahahaa wallah mapenzi hayaba bondia,lakini ukishakua na maisha yako ukaendelea nayo ile gap wanaiona sema kukurudisha ndio ngum mtu anaugulia moyon
 
Hahahah

Hivi najiulizaga ilikuaje kuomba msamaha ile shida..maana khaa!!ptuuu
ndio maisha lazima upitie changamoto flani flani zikushape kua mtu flani wa baadae
 
Niliwahi kua na mwanaume yani mkikorofishana kidogo tuachane..najiona fala naomba msamaha..kitu kidogo tuachane sitaki stress najishusha naomba msamaha...na sijawahi omba msamaha kwenye mahusiano zaidi ya Yale...akaenda akawa anafanya kusudi hajui mwenzie nahesabu tu...Mara ya mwisho ananiambia tuachane sikumkawiza wala kubembeleza nilimpa yake nikamuacha anahangaika nayo..maana hakuamini kama ndie yule niliyekua naomba msamaha...kibao kikageuka kwake mbona alijuta!!!...sipendagi upuuzi mie
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aisee...
 
Hapa me naombwa msamaha na hana kosaa...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji22][emoji22][emoji22]Yani mpaka najisikia vibayaa...!
Halaf raha ya kuombwa msamaha sio kutesana unapoombwa msamaha ujue huyo mtu anataka tu yaishe muendelee lakini wengi huchukulia kama udhaifu wa kuumiza wengine
 
Usimtese kuna siku atachoka, unamuumiza kihisia, msamaha unaomba ili kufupisha matatizo yaliojitokeza na huna budi kusamehe
Hapa me naombwa msamaha na hana kosaa...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji22][emoji22][emoji22]Yani mpaka najisikia vibayaa...!
 
Usimtese kuna siku atachoka, unamuumiza kihisia, msamaha unaomba ili kufupisha matatizo yaliojitokeza na huna budi kusamehe
Yani hajanikosea ila nimejikuta tu simfeel tena kabisaa...! Najiforce nashindwa yani...
 
Yani hajanikosea ila nimejikuta tu simfeel tena kabisaa...! Najiforce nashindwa yani...
usimpotezee muda heri ajue anapenda sipo mwambie usimpotezee muda na wala usifos mapenzi/hisia hatalazimishwi
 
usimpotezee muda heri ajue anapenda sipo mwambie usimpotezee muda na wala usifos mapenzi/hisia hatalazimishwi
Duuh kumwambia sasa ndo namuonea huruma kabisa...! Yani hapa tu analia kila siku...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Wakulu wazima humu,

Nadhani kwa wanaume wenzangu mtakubaliana na hili, naamin katika maisha yako umewahi kutana na mwanamke mwenye mapenzi ya dhati hadi unajihisi mfalme kabisa, muda wote anakupigia simu au kutaka mchati, wakati wote yupo geto kwako, ukiumwa sasa jinsi anavyohangaika hadi raha, utapikiwa chochote hata kuiba hela kwao mwanamke anakuwa tayari alafu ukicheki labda una kitanda tu na sabufa, lakini mwanamke anakung'ang'ania, atakula tembele atavumilia tu, kifupi ugumu wowote ule kwake Kama mafuta tu.

Lakin Mara Nyingi sisi wanaume huwa tunawapoteza wanawake wa namna hii na kukuta tunadate hadi kuwaoa wanawake wa ajabu wasio na mapenz na sisi mwisho wa siku tunajuta hatimaye kufa mapema.

Sijui huwa tunakwama wapi...
Mkuu hii mada ni nzuri na ya muhimu sana.

Binafsi nikishaelezea in a nutshell na nilishasema nitaandika mada kama hii lakini katika kuelezea uhalisia ulionitokea mimi na nitajuta siku zote kwani aliyenitendea mema kama hayo hayupo tena duniani. Roho inaniuma sana.

■ Ila kifupi aisee tuwajali sanaa Wanawake wanaotupenda kwa dhati na tusikariri kuwa hakuna wanawake wazuri. Utakuja kuona uzuri wake pale utakapomkosa au akiolewa na mwingine.
 
Duuh kumwambia sasa ndo namuonea huruma kabisa...! Yani hapa tu analia kila siku...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
kuna siku atajutambua hatolia tena, me niliomba msamaha usiku wote, napiga natuma msg mpaka crdt zinakata hajibu hata moja, siku nilojiuliza ana contribute nn kwenye maisha yangu halaf skuona cha mana nikasema sitaumia tena,
 
I wish afike hiyo atua atakuwa amenisaidia sana...!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom