Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,179
- 34,528
Hua mnaona hatuna pa kwenda, na kwenu hua tumefika mmesahau kabla yenu tulikua tunaishi sema tu mapenzi yakatutia upofu
Bora huyo hata wazazi wake walikuchachamalia me alikua dini tofaut na nilikua radhi hata kupishaana na mzaz wangu kwa ajili yake siku niliojitambua yan nikijiona bonge la mpuuzi nikakaaa nikafikiriaaa nikasema over my dead body sitaweza kupingana na mzaz wangu aliejikamua kujinyima kula mimi niishi halaf nije mkatili kwa mpuuzi mmoja tu huwaga najichekaga lakini mwisho wa siku ni mapito na changamoti sana sana nimeweza kujifunza na kujigundua nina mahaba s ya nchi hii

Ni kweli Madam
Wanaume kabla hatujajitambua ni kawaida kwamba tukipata wanawake wa namna yako tunajisahau sana na tunabaki tukining'inia bila kujua kwamba kuna siku mtachoka na kurefresh akili zenu.
Wakwangu ilifikia hadi kipindi hataki hata kula ni kulia tu ndipo wazazi wake wakachachamaa kwamba nisije kuwaulia mtoto.,,, nashukuru huyu mwanamke sikumpoteza na nipo nae hadi leo