kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,822
Wakulu wazima humu,
Nadhani kwa wanaume wenzangu mtakubaliana na hili, naamin katika maisha yako umewahi kutana na mwanamke mwenye mapenzi ya dhati hadi unajihisi mfalme kabisa, muda wote anakupigia simu au kutaka mchati, wakati wote yupo geto kwako, ukiumwa sasa jinsi anavyohangaika hadi raha, utapikiwa chochote hata kuiba hela kwao mwanamke anakuwa tayari alafu ukicheki labda una kitanda tu na sabufa, lakini mwanamke anakung'ang'ania, atakula tembele atavumilia tu, kifupi ugumu wowote ule kwake Kama mafuta tu.
Lakin Mara Nyingi sisi wanaume huwa tunawapoteza wanawake wa namna hii na kukuta tunadate hadi kuwaoa wanawake wa ajabu wasio na mapenz na sisi mwisho wa siku tunajuta hatimaye kufa mapema.
Sijui huwa tunakwama wapi...