Nafikiri ni tabia tu, nikiwa Advance nilikua na mrembo wa namna hiyo, skua msumbufu ila nilipita na rafiki yake bahat mbaya akajua, akasema atonsamehe hilo na kweli tukaachana japo nilimpenda sana na iliniumiza.......
Imechukua 6 kumpata kama yeye, sasa naijua thaman halis ya nilie nae leo, mda mwingine naisi hutokea ili tujifunze kuwapenda, kuwajal, wale wanaotupenda......
Nilie nae nimempora kwa jamaa asie jua thaman yake, ilichukua muda kumng'oa kwa jamaa, siku jamaa anapewa ujumbe akuamni. Nimejifunza Malipo ya Upendo ni upendo l.