Daaah jaman n kweli ila cio vizur mnatuumiza sana wanawake mwenyewe nna maumivu apa nilipo ctaki ata kuckia kuhusu mapenzi,wanaume mmezidi punguzen kdogo jamani
tatizo ww ni nikifaa ndio maana competation haiishi ...
Nakuomba Himidini hebu niachie hiki kifaa! Nina haja nacho sana
Imekula kwako. Kama unachanua miguu kwa kila anayepiga hodi utaumizwa sana..!Daaah jaman n kweli ila cio vizur mnatuumiza sana wanawake mwenyewe nna maumivu apa nilipo ctaki ata kuckia kuhusu mapenzi,wanaume mmezidi punguzen kdogo jamani
Umalaya wa mtu awe mwanaume au mwanamke hautegemei mtu mwingine hata kidogo. Acha kuwapa bichwa hawa wanawake. Hamna mtu anayelazimishwa kujiingiza kwenye mahusiano ya ngono, wanaamua wenyewe kwa ridhaa yao. Tena baadhi yao mkishaanza uhusiano yeye ndo anataka dushe, wengine hata ule uhusiano wa kufahamiana vizuri na kujenga urafiki hawataki, wao ni dushe tu...!
Wasimsingizie mtu kwa umalaya wao..!!
Daaah jaman n kweli ila cio vizur mnatuumiza sana wanawake mwenyewe nna maumivu apa nilipo ctaki ata kuckia kuhusu mapenzi,wanaume mmezidi punguzen kdogo jamani
Kauli ya mwanamke yatosha, Nasubiri hukumu ya nameless girl
^^
Daaah jaman n kweli ila cio vizur mnatuumiza sana wanawake mwenyewe nna maumivu apa nilipo ctaki ata kuckia kuhusu mapenzi,wanaume mmezidi punguzen kdogo jamani
word........... wanawake sometime nao wanajitakia kudanganyika kwa muwindaji hodari mwenye nia anajulikana na wale type ya fisi wanajulikana pia ni kujitoa ufahamu kwa baadhi ya wanawake tu na tamaa
Sio kweli km sababu ni kutendwa
1. Kutaka aonekane kwa wenzake km na yy ana bf na unaenda na wakati
2. Acpokua na mtu ataonekana hana mvuto
3. Kutaka mtu wa kumtunza kwa matumiz km saluni, mavazi kn
4. Kushobokea mtu wa class nzuri au fedha bila kujali km huyo mtu nae anakupenda au la
5. Akitongozwa anaona km bahati bila kufanya utafiti km huyo mtu yupo serious au ni player
6. Kutopenda kujishughulisha na kutaka vya kupewa
7. Tamaa ya kufanya ngono kabla hajaolewa kutokana na kusikia kuwa ni taamu. N.K
Hivi kutokana hizo sababu, mwanaume akimpitia binti na kumwacha atakua na kosa gani?
Daaah jaman n kweli ila cio vizur mnatuumiza sana wanawake mwenyewe nna maumivu apa nilipo ctaki ata kuckia kuhusu mapenzi,wanaume mmezidi punguzen kdogo jamani
Naongezea, mwanamke ukiisha mlala yeye anawaza kuolewa tu, kumbe lile ni burudani mlilokubaliana kupeana vikojoleo tu.
Mwambie tu ukweli nia yake kwako. Kama hataki achana nae chukua mwingine. Haina haja kumng'ang'ania mtu ambaye huna malengo nae.