- Thread starter
- #81
Inaonesha urikurupuka kwa aliye kuumiza, usikurupuke tena fanya uchunguzi yakinifu.
atumie microscope kuchunguza wanaume makini

cc miss chagga na lara1 inamaana mlishatendwa sana?
probably yes or no choose one
Aaa wapi, mbona mpole tu, akiwa moto we unakuwa maji..
^^
yes!. ...
Aiseee nimewadanganya wengi kwa style ya kuwaoa nimewagegeda mpaka basi japo sijutii ila mpaka nioe nitakuwa najaza mabasi ya Dar express mawili na double coaster
Hahahahaaaaaa..... Usilete zile habari za kule zilipitaga bwana...
Kwa hiyo na nyie mkitendwa mtakuwa malaya?
Aiseee nimewadanganya wengi kwa style ya kuwaoa nimewagegeda mpaka basi japo sijutii ila mpaka nioe nitakuwa najaza mabasi ya Dar express mawili na double coaster
Malipo Duniani hapahapa angalia yasije kukurudi, vilio vyao havipotei bure.
hivi kumbe na wewe unayatambua haya ??..!!!
cc Tyta
Hahahahaaaaaa..... Usilete zile habari za kule zilipitaga bwana...
kweli yalipita nimeamini