Wanaume tunachangia sana wanawake kuwa malaya

Wanaume tunachangia sana wanawake kuwa malaya

Wanaume wamekuwa chanzo kikubwa cha kusababisha wanawake wengi katika jamii kuonekana malaya kwa tabia za baadhi ya wanaume

Utakuta mwanaume anamdanganya mwanamke kwamba anataka kumuoa hivyo amkubalie tu ombi lake , hana nia ya kumchezea tu, natamani uwe mama wa watoto wangu na maneno mengi mazuri mazuri ya kuleta faraja yanayo ashiria maisha ya ndoa ya pamoja . Lakini kumbe ni uwongo tu anachokisema si ndicho kilicho moyoni mwake, utakuta binti anakubali kwa amehakikishiwa mahusiano yanayo elekea kwenye maisha ya ndoa . Kumbe ni changa la macho.

Kuna baadhi ya wanaume wakiona binti ana msimamo sana uwongo unapitiliza hadi kufikia hatua ya kumwambia binti wa watu kwamba kama huamini nina nia ya kukuoa nipeleke kwa wazazi wako, na jamaa anapelekwa kwa wazazi na kuku anachinjiwa lakini kumbe si muoaji ni tapeli wa mapenzi.

Sasa utakuta mwanamke akishatendwa mara ya kwanza , mara ya pili, ya tatu na ya nne kwa nini jamii yake isimwite malaya. Halafu kila mwanaume anapokuja huja na maneno mazuri kwamba wanaume tunatofautiana unajua mimi si kama huyo unayesema alikutenda ,nitakuheshimu ,nitakujali, nitakutunza kumbe wizi mtupu akishavuliwa tu chupi akiondoka imetoka hiyo akirudi pancha.

Wanaume tuache tabia hiyo ya kudanganya watoto wa watu kwani ukiwa tu mkweli kwamba nataka tugegedane tu kuna ubaya gani. Hasa wanafunzi wa chuo unamdanganya binti mwanachuo mwenzako unakaa naye miaka mitatu au semista nzima anakupikia ugali ,anakubrashia viatu lakini ikiisha semista unahama chumba unamwacha solemba wakati huo umemzibia riziki pengine angepata mwanaume wa kweli.

Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke asiyependa kuolewa , hakuna mwanamke anayependa kila siku ahudhurie masherehe ya wenzake halafu yeye yupo tu . ukikuta mwanamke anaponda maisha ya ndoa ujue ametendwa sana sasa amekata tamaa .

Wanaume badilikeni jamani ili kuwaletea heshima wenzenu mnagegeda mabinti wa wenzenu miaka na miaka halafu mnawaacha sasa akipita muoaji akifuatilia historia anakuta jamaa kagegedana na fulani ,na fulani na fulani yule, mwisho na yeye anajikatia tamaa anaamua kuacha kwani anaona kama anakula makombo tu ya wenzake au kama vile amechukua shati la mtumba wakati ya dukani yapo mengi, anajiona kama amenunu used engine. Hii tabia siyo nzuri jamani.

cc miss chagga na lara1 inamaana mlishatendwa sana?
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaaaa! Ww himidin unatafuta kupanda kizimban kwa nguvu ww endelea kuwachokoza waheshimiwa. Mm simo mkuu

Ha ha ha, hata watu wa chini tunahitaji faraja.
^^
 
Last edited by a moderator:
ni kweli tunahitaji faraja lakn sio kuangukia mikonon mwa wasimamia sheria utaishia rokap

ha ha Penzi haliangalii cheo, na ikitokea akakutia hatiani, kabla hajasoma hukumu unamwambia, "I LOVE YOU MY LORD"
^^
 
mamaaaa!
Inamaana mm na himidin tumesha injikwa chungu kimoja?
Hapana lakn mm sijahifadhiwa kwenye kiota labda kama napigwa changa la macho

mbona una mashaka,
utulii!
Himidini mwenyewe hana visa nawe, wewe hu mchokoz.
 
Last edited by a moderator:
Daaah jaman n kweli ila cio vizur mnatuumiza sana wanawake mwenyewe nna maumivu apa nilipo ctaki ata kuckia kuhusu mapenzi,wanaume mmezidi punguzen kdogo jamani
 
Back
Top Bottom