Wanaume tunachangia sana wanawake kuwa malaya

Mimi ninaamini umalaya ni tabia ya mtua awe mwanaume au mwanamke.......kila mmoja wetu lazima ajiwekee taratibu na vigezo vyake vya kumpata mwenza.....na baada ya kuijwekea hizo taratibu huna budi kuzifuata.....kuelekea kumpata huyo unayemtaka maishani huku nawewe ukiwa umejiandaa kumpokea....matatizo huanza pale wewe mwenyewe unapokiuka taratibu zako kwa ajili ya tamaa za material things.....kama vile pesa na umaarufu wa mtu.....huku ukifumba macho kwa makusudi ili usione ubaya wake.......

Kumbe uko vizuri mjomba...kitu ulichoelezea ndio ukweli wa mambo......
 
Hivi vi mada hua Naona kz sn kuchangia Lkn Leo nitasimama imara kutetea wanaume!

Haiwezekani kila mahusiano yapelekee kufunga ndoa tu!

ni kweli na ndicho kinachowacost wanawake wengi. wanapotongozwa wanawahi kudai Unataka kunioa au kunichezea. hata akili hawana. unafikiri mwanaume atakujibuje na Huku mzigo anataka. Jamani wanawake kumbukeni sio kila uhusiano Ndoa. mengine piga acapela tembea inakuwa siri yetu hata watu hawajui na cv yako inaendelea kuwa clean
 
Back
Top Bottom