Wanaume tunachangia sana wanawake kuwa malaya

Mahusiano kwanza kisha ndoa, na sio Ndoa kisha ndio muanze kujenga mahusiano. Utapikaje mboga bila ku test kama chumvi imekolea.

Mwanamke anayejielewa anaweza kutambua kama mwanaume yuko serious or not. Ila wanapitiwa tu wanapopewa utamu zaidi wananogewa na kulazimisha mambo. Na wala sio wanaume wanawafanya wawe malaya

Mahusiano ni test drive ya ndoa.
 
Umalaya wa mtu awe mwanaume au mwanamke hautegemei mtu mwingine hata kidogo. Acha kuwapa bichwa hawa wanawake. Hamna mtu anayelazimishwa kujiingiza kwenye mahusiano ya ngono, wanaamua wenyewe kwa ridhaa yao. Tena baadhi yao mkishaanza uhusiano yeye ndo anataka dushe, wengine hata ule uhusiano wa kufahamiana vizuri na kujenga urafiki hawataki, wao ni dushe tu...!

Wasimsingizie mtu kwa umalaya wao..!!

Kama Umenena Aisee Sisi Wanaume Ndo Tunateswa Sana Wanawake Mwisho Wasiku Tukiona Mwanamke Hasomeki Someki Tunachapa Rapa
 
Wanawake wanashindwa kujielewa na kuwatupia lawama Wanaume bila sababu za msingi. Mwanaume ni kama mwindaji, ni jukumu la wanaowindwa kuwa na njia mbadala za kujilinda la sivyo wataishia kugegedwa na ndoa isiwepo.
 
Nitoe solution gani mkuu, kujiingiza katika mahusiano ya ngono ni uchaguzi wa mtu, kwa ridhaa yake bila kushururishwa na mtu. Iweje leo baada ya uhusiano kwenda mrama tatizo liwe langu? Hiyo sio fair hata kidogo.

Wanawake wengi wanaparamia kujiingiza katika mahusiano bila kufanya upembuzi yakinifu, wengi hata hawajachukua mda kumsoma mtu waliyenae, wengine hata hawakai na hao watu wao angalau wakaongea future ya urafiki wao, wengi hawapo radhi kuwa katika mahusiano yasiyo na ngono..! Ukiwalaumu wanaume unawabebesha mzigo usio na maana..!

nafikiri shida ya wadada wengi kwenye mahusiano hawajiulizi maswali ya msingi kabla ya kuingia kwenye mahusiano
 
Wanawake wanashindwa kujielewa na kuwatupia lawama Wanaume bila sababu za msingi. Mwanaume ni kama mwindaji, ni jukumu la wanaowindwa kuwa na njia mbadala za kujilinda la sivyo wataishia kugegedwa na ndoa isiwepo.

word........... wanawake sometime nao wanajitakia kudanganyika kwa muwindaji hodari mwenye nia anajulikana na wale type ya fisi wanajulikana pia ni kujitoa ufahamu kwa baadhi ya wanawake tu na tamaa
 
Hivi weye mleta uzi unavijua hivi vibinti ?
 
Solution kamwe haitakuja kupatikana it is complicated,wengi tunajitaidi tu kukubali
Hapa umeongelea kitu kimoja #tabia
Lazima ujue tabia inajengwa na mambo mengi kama ulivosema KE wanakuwa Malaya sababu ya kutendwa basi ME pia VICE VERSA is true.
Hata wanaume tumejengwa katika utamaduni wa baadaye kuwa mababa Wa familia zetu so hata sisi tunaitaji sana ndoa and we fell proud abt it.
Unashindwa kutofautisha mausiano kipindi cha balehe na utu uzima.....wanawake wengi wanakuwa vinara kipindi cha utineja sababu market yao IPO juu kwa kipind icho boys wengi wanawasubukia kwa gharama kubwa #biological_clock inapoanza kutiki ndio wanaanza vilio wakati ME walishafuta machozi mda mrefu sana it is a #WIN_LOOSE GAME
Sasa kinachobaki ni kuotea popote unapoangukia ili ushindane na Biological clock
Ni vilio na kusaga meno...period.
 
Unajua Mkuu Maisha nayo yamechangia kwa kiasi fulani,hali ya kiuchumi nayo ukosefu wa ajira tuangalie hili suala kwa upana kuna mambo yanachangia sana hata ukosefu wa maadili katika jamii kwa sasa nimepita japo kidogo nichangie Mkuu ni hivyo tu.
 
Wanaume wamekuwa chanzo kikubwa cha kusababisha wanawake wengi katika jamii kuonekana malaya kwa tabia za baadhi ya wanaume

Utakuta mwanaume anamdanganya mwanamke kwamba anataka kumuoa hivyo amkubalie tu ombi lake , hana nia ya kumchezea tu, natamani uwe mama wa watoto wangu na maneno mengi mazuri mazuri ya kuleta faraja yanayo ashiria maisha ya ndoa ya pamoja . Lakini kumbe ni uwongo tu anachokisema si ndicho kilicho moyoni mwake, utakuta binti anakubali kwa amehakikishiwa mahusiano yanayo elekea kwenye maisha ya ndoa . Kumbe ni changa la macho.

Kuna baadhi ya wanaume wakiona binti ana msimamo sana uwongo unapitiliza hadi kufikia hatua ya kumwambia binti wa watu kwamba kama huamini nina nia ya kukuoa nipeleke kwa wazazi wako, na jamaa anapelekwa kwa wazazi na kuku anachinjiwa lakini kumbe si muoaji ni tapeli wa mapenzi.

Sasa utakuta mwanamke akishatendwa mara ya kwanza , mara ya pili, ya tatu na ya nne kwa nini jamii yake isimwite malaya. Halafu kila mwanaume anapokuja huja na maneno mazuri kwamba wanaume tunatofautiana unajua mimi si kama huyo unayesema alikutenda ,nitakuheshimu ,nitakujali, nitakutunza kumbe wizi mtupu akishavuliwa tu chupi akiondoka imetoka hiyo akirudi pancha.

Wanaume tuache tabia hiyo ya kudanganya watoto wa watu kwani ukiwa tu mkweli kwamba nataka tugegedane tu kuna ubaya gani. Hasa wanafunzi wa chuo unamdanganya binti mwanachuo mwenzako unakaa naye miaka mitatu au semista nzima anakupikia ugali ,anakubrashia viatu lakini ikiisha semista unahama chumba unamwacha solemba wakati huo umemzibia riziki pengine angepata mwanaume wa kweli.

Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke asiyependa kuolewa , hakuna mwanamke anayependa kila siku ahudhurie masherehe ya wenzake halafu yeye yupo tu . ukikuta mwanamke anaponda maisha ya ndoa ujue ametendwa sana sasa amekata tamaa .

Wanaume badilikeni jamani ili kuwaletea heshima wenzenu mnagegeda mabinti wa wenzenu miaka na miaka halafu mnawaacha sasa akipita muoaji akifuatilia historia anakuta jamaa kagegedana na fulani ,na fulani na fulani yule, mwisho na yeye anajikatia tamaa anaamua kuacha kwani anaona kama anakula makombo tu ya wenzake au kama vile amechukua shati la mtumba wakati ya dukani yapo mengi, anajiona kama amenunu used engine. Hii tabia siyo nzuri jamani.

Umalaya wako wewe afu unajitetea wanaume .....huna kbsa bichwa wewe
 
Sio kweli km sababu ni kutendwa
1. Kutaka aonekane kwa wenzake km na yy ana bf na unaenda na wakati
2. Acpokua na mtu ataonekana hana mvuto
3. Kutaka mtu wa kumtunza kwa matumiz km saluni, mavazi kn
4. Kushobokea mtu wa class nzuri au fedha bila kujali km huyo mtu nae anakupenda au la
5. Akitongozwa anaona km bahati bila kufanya utafiti km huyo mtu yupo serious au ni player
6. Kutopenda kujishughulisha na kutaka vya kupewa
7. Tamaa ya kufanya ngono kabla hajaolewa kutokana na kusikia kuwa ni taamu. N.K
Hivi kutokana hizo sababu, mwanaume akimpitia binti na kumwacha atakua na kosa gani?
 
Hapo no.7.kwani sio tabu refer biblia inaiongeleaje ngono.
 
Aiseee nimewadanganya wengi kwa style ya kuwaoa nimewagegeda mpaka basi japo sijutii ila mpaka nioe nitakuwa najaza mabasi ya Dar express mawili na double coaster

vipi mkuu tarehe moja ulicheck afya ? na kama ulicheck ulisubiri majibu au uliwaambia wahudumu wakutumie kwa sms .
 
Sikumbuki kifungu gani ila kuna sehemu inasema ngono ni kibuludisho cha nafsi na starehe..
 
Back
Top Bottom