Wanaume tumeumbwa...matesooo...kuhangaika!

Wanaume tumeumbwa...matesooo...kuhangaika!

Wanaume tumeumbwa...matesooo...kuhangaika!

Nilipokuwa mdogo nilikuwa sijui maana ya huu wimbo, ila kwa sasa nimejua walichokimaanisha...kutokana na bili zinazokuja kutoka kwa hawa wapenzi wetu.

Hujakaa sawa unapata meseji mpenzi ninunulie hivi vitu, ukipiga mahesabu unakuta ni gharama kubwa. Pia hawaangalii kama muda huo uko vizuri kiuchumi au laa, ama kweli wanaume tumeumbwa mateso.
Mateso yapi?

Kwahio uko kwenye mahusiano yenye mateso? Na wewe unakubali kupata mateso ...kwanini usiondoke uepukane na hayo mateso..ili usije kua kama jamaa wa takukuru
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom