Mimi huwa nazitazama sms kama sizioni au nakubali ila utekelezaji ndio haufanyikagiWanaume tumeumbwa...matesooo...kuhangaika!
Nilipokuwa mdogo nilikuwa sijui maana ya huu wimbo, ila kwa sasa nimejua walichokimaanisha...kutokana na bili zinazokuja kutoka kwa hawa wapenzi wetu.
Hujakaa sawa unapata meseji mpenzi ninunulie hivi vitu, ukipiga mahesabu unakuta ni gharama kubwa. Pia hawaangalii kama muda huo uko vizuri kiuchumi au laa, ama kweli wanaume tumeumbwa mateso.
Sote tunapenda ela ila kwa nini nyie wachaga mnapenda ela sanaa kutuzidi ?Acha woga we hudumia uwanaume si kudinda
Story tu ila Pesa tunapendaSote tunapenda ela ila kwa nini nyie wachaga mnapenda ela sanaa kutuzidi ?
Maana utajiri wa misekule hizi habari za kufikirika Mimi japo siziamin niliziskia mkuu rombo ..mwika na tarakea nikiwa napata chan'gaa tukibadilishana maneno na wazee
Kweli mkuu ametuachia ujumbe mzitoRIP Shaaban Mhoja Kishiwa "Tx Moshi William"
ha ha ha najipanga nije nikuhudumie wewe mkuuAcha woga we hudumia uwanaume si kudinda
ha ha ha mi mwenyewe leo nimeshalizwa mkuuHapa nilipo nimepigwa mzinga wa laki eti akalipe VICOBA wakati mi mwenyewe napumulia mashine....nimeahidi mpaka saa kumi na mbili mambo fresh.....naona masaa yanakimbia balaa....kuna kila dalili ya kumblock kuanzia saa 12..sijui huwa wanawaza nini
ha ha ha najipanga nije nikuhudumie wewe mkuu
Kiasi gani mkuuUjipange parefu
Hapa nilipo nauguza Mke na wanangu wawili wanaumwa nishatumia gharama kibao isitoshe nipo kweny mishe za mkopo na wife anajua hali yangu sio chakushangaza asubuh naambiwa naomba ela ya kusuka ata sikujbu nawaziaga hawa wenzetu wapoje sipat jbu
ha ha ha ha zingine zina mnato mkuuKosa hapo ni kung'ang'ana kufuga mtu nzima ilihali kuku tu huwezi. Unaombwa laki kwa papuchi moja wakati unaweza pata papuchi 5 kwa laki hiyohiyo
Kiasi gani mkuu
Kiasi gani mkuu
Njoo uchukueMzigooo