Wanaume tumekosea wapi hadi kibao kimetugeukia?

Nadhani hao watakuwa wavulana.. lakini mwanaume hugombaniwa na wanawake hana shida ya kufanya hayo yote...
 
kuna hii kitu naisikia inaitwa BADOO ndio nini wajameni?
 
Umeisikia wap? Dirishani kwa jirani yako itakuwa badoo ampe tena
Aisee nkoi umenichekesha saaaana pengine ata wewe huijui ni nini hiyo, sio kumpa mwanamke hapana watu wanasema ni moja ya mitandao ya kijamii sasa sijajua inafanya kazi kivip ndio swali langu na inajihusisha na nini hasa?
 
Hahahahahaha siijui mkuu tusubir waje wanao jua
 
I'm who I am. I shall never pretend to be someone who I'm not. So take me as I am and for who I am or leave me alone. Nimekuwa Na attitude hii na sipati shida na kiumbe yoyote
I'm happy
 
Hakuna namna, wacha papuchi zimumunywe tu. Tupate miaka kadhaa mbele ili kansa ya koo (esophageal cancer) ishike kasi.
 
zamani wanawake walikuwa wanahangaika huku nna huku kumridhisha mwanaume. wanaenda kwa waganga, wanagombana, wanajinyenyekeza, wanahudumia kama watumwa. na waliishi kwa mashaka makubwa. siku hizi imekuwa kinyume chake. wanaume tumekuwa obsessed na kumridhisha mwanamke. hofu ya ubamia, hofu ya kutowaridhisha na hofu ya kugongewa vimetawala. watu wanakula mihogo mibichi na nazi mbichi, watu wanakunywa konyagi bila kupenda. watu wanahonga na kulamba papuchi kama mbuzi! nini kimetokea? wapi tumekosea?
Mada inaukweli mtuuuuuupu ila jf inajifana ina vidume wakati ndo vimeo watajibalaguza tuuu
 
Afya wapi wakati watu wanafanyia ndio dozi asubuhi mchana na jioni..
Unakuta njemba mkononi anamuhogo na mfukoni kajaza karanga tena yuko busy alfu kakunja sura mbaya😵😵
Teh jipigeni tu dozi bana
 
zamani wanawake walikuwa wanahangaika huku nna huku kumridhisha mwanaume. wanaenda kwa waganga, wanagombana, wanajinyenyekeza, wanahudumia kama watumwa. na waliishi kwa mashaka makubwa. siku hizi imekuwa kinyume chake. wanaume tumekuwa obsessed na kumridhisha mwanamke. hofu ya ubamia, hofu ya kutowaridhisha na hofu ya kugongewa vimetawala. watu wanakula mihogo mibichi na nazi mbichi, watu wanakunywa konyagi bila kupenda. watu wanahonga na kulamba papuchi kama mbuzi! nini kimetokea? wapi tumekosea?
Hahahah wanaramba kama mbuzi 😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom