Mjibu kuwa bado unajaribu kusaidia ndugu zako ili ukimaliza majukumu hayo ndiyo uolewe ili uanze majukumu ya familia yako. Haifai kukimbizana ili uolewe maana baada ya ndoa inatakiwa nyote muache kuhudumia familia za wazazi wenu. Ukiolewa mapema, itabidi uendelee kuhudumia familia ya wazazi na hiyo mpya: mtaka yote kwa pupa hukosa yote hasa ukijikita na vipato vyetu siku hizisina haraka nayo hiyo ni plan tu
bado,why u ask?
NYONGEZA: "nimeona katika wote wewe ni wife material natamani nikuoe hata kesho" hapo mta date miaka mingi tuuu kimyaaa. what the f*** mutuwacheeeee
Lakini na ww mwanamke siusubiri man wako apropose mwenyewe willingly haraka ya nini ukiona hasomeki unasepa
kusubiri mtu unasubiri,yani hata huo msamiati ndoa unaukwepa kabisaaa in his presence...tatizo ni uongo umezidiii banaa,ye ndo unakuta anaisema ndoa afu hana mpango wowote,ukija kugundua ts too late keshakufunua au ulimpa willingly coz unampenda,hata kama utaamua kusepa utabadilisha wanaume wangapiiiii???and mind you sio rahisi kama tunavoandika hapa unakuta mtu unampenda na falling out of love is harrrrd...kuja kupata mwingine hadi mshibane vizuri ujue intention zake unashangaa mwaka miaka miwili imekatika,umri unaenda,loooh...namuachia Mungu nimesurrender hii sekta for now
Hahahahaaaaa kweli hilo nalo neno mydia yaani haya mambo nikuomba na kumuachia tuu Mungu ndo anejua lipi zuri kwako.
sijakusoma
hmmm hii sasa dah...anywei wacha nikae kimya
Kuanzia sasa sitaki missing wala nakuota mpaka nitangaziwe ndoa.. Vin Diesel
badiebey sijui hata nikwambieje .....ila cha muhimu usikate tamaa.....kama unadhani unafaa kuwa mke, wakati muafaka ukifika, utakuwa.kusubiri mtu unasubiri,yani hata huo msamiati ndoa unaukwepa kabisaaa in his presence...tatizo ni uongo umezidiii banaa,ye ndo unakuta anaisema ndoa afu hana mpango wowote,ukija kugundua ts too late keshakufunua au ulimpa willingly coz unampenda,hata kama utaamua kusepa utabadilisha wanaume wangapiiiii???and mind you sio rahisi kama tunavoandika hapa unakuta mtu unampenda na falling out of love is harrrrd...kuja kupata mwingine hadi mshibane vizuri ujue intention zake unashangaa mwaka miaka miwili imekatika,umri unaenda,loooh...namuachia Mungu nimesurrender hii sekta for now