Wanaume: Tuacheni tuolewe basi

Ndoa ni suala la mwanaume kuamua hamna setting akisema mwaka huu anaoa ujue anaoa ila kwa mwanamke inakuwa ngumu

hii setting ni manual sio auto ujue
 
ahahahaaa sikumaaanisha nafungua mlango wa mtongozo aisee kama nimeeleweka hivyo ntaedit sasa hivi hapo

edit tu! kwa sababu kama una mchumba tena na mipango mshaiweka afu useme bado upo upo, inaleta maana tofauti.
 
edit tu! kwa sababu kama una mchumba tena na mipango mshaiweka afu useme bado upo upo, inaleta maana tofauti.

ahahahaaa nshafanya yangu nafikiri umenielewa ndugu
 
Haaaah umenichekesha eti kama wale wa tamthiliya za kikorea! Bwahahaha wanavaa Kabati zima wale! Sa si tutashndwa kutembea jaman plus joto la Bongo!
 
Haaaah umenichekesha eti kama wale wa tamthiliya za kikorea! Bwahahaha wanavaa Kabati zima wale! Sa si tutashndwa kutembea jaman plus joto la Bongo!

hata wewe ni mdada?
 
MankaM nakuomba PM,,,nahisi una kitu fulani hivi mimi nakitaka
 
edit tu! kwa sababu kama una mchumba tena na mipango mshaiweka afu useme bado upo upo, inaleta maana tofauti.

Kama ana mtu na plan ni baada ya miaka miwili, huyo sio mchumba bali ni rafiki/mpenzi tu. Naamini uchumba kwa maana ya kufahamika na kutoa mahari tayari hauwezi kusubiri miaka miwili kufunga ndoa.

Akiamua kufungua milango ya mtongozo ni sawa tu kwa vile hakuna uhakika wa kuolewa hapo. Ni mama simu hizi watu kuitana mume wangu au mke wangu, wakati bado ni wapenzi tu, naona wanafurahisha nafsi zao tu. MankaM nikidhani umeolewa kumbe bado twaweza kurusha nyavu eeh!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…