Wanaume suruali!

Kweli sio tabia nzuri wanaume wa tabia hii muache sio tabia nzuri.
 
Hebu fafanua hii heading.. Wanaume wa hivyo ni wanaume suruali, au wanaume wa hivyo wanatakiwa wabadilike wawe wanaume suruali?
 

Pole naona yamekukuta
Kuwa makini urafiki huwa unakuwa na mipaka yake kama unabususiana ovyo ovyo na njemba lazima lijigambe kuwa linakaribia kutembea na wewe wengi wenu wanawake mnashindwa kulinda mipaka ya urafiki na wanaume unajikuta unasogeza vitu mpaka jamaa anaanza kubambia bambia.
 


hiyo red inahusika kwa sana
 
Ukute hata binti wa watu hamjui unasikia pale nimegonga mara yule tayari nimepitia..Ili mradi mbele ya wanaume wenzake aonekane kinara.
Wanaume wa aina hii wanapenda kut********* midomo tu hamna zaidi na kudhalilisha wanawake kwa kuwapakazia uongo.

Nimeshamsuta mmoja mbona alinikoma mbele ya rafiki zake..sikumbakishia hata kidogo mana alikuwa amezidi kuharibu profile za watu makusudi.
 
Hivi kuna Wanaume Kaptura????

Kwa ninavyojua mimi mwanaume anaweza kuwa;
Mwanaume suruali'
mwanaume kaptula,
mwanaume msuli,
mwanaume bukta,
mwanaume pensi,
mwanaume kanzu,
mwanaume rubega,
 

Nimepata kusikia vidume vinavyo jitamba kuwa pale tayari nimesha maliza yaani kesha fanya matusi mara nyingi bakora zao hazifanyi kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…