Ana pole sana
Sasa hapa sijakuelewa
Wanaume ni stress sababu anawanawake wengi ama sababu kakudanganya? Ni wachache wenye kupenda mmoja na kugandana na huyo kila wakati. Ukweli ni kwamba mwanaume anaweza akwa na wanawake sita na akawapenda wote kabisa. Mwingine sababu anafurahia company, mwingine sababu wapo compactible on bed na mwingine sababu labda umemzalia mtoto ama watoto na ni mke na sababu nyingine nyingi tu. Is it right? Hapana! BUT bahati mbaya sana habari ndio hiyo...
Huwa nawashangaa sana wenye mapenzi ni almost perfect kila kitu kipo katika mstari but bado haridhiki na kutaka kuchokoa mengine zaidi ya hapo kwa kutafuta kasoro zilizopo! Ukiwa katika mahusiano, ukiona kila kitu kipo sawa na wafurahia mahusiano live the moment na ufurahie maisha (hope na wewe ulifanya hivo)
For believe me you kuna wakati tu utafika utakuta kuwa hay ohayo mapenzi ni machungu hadi unajikuta unafungua thread kwa hasira na lawama nyingi or kufanya lolote lile mradi ujisikie amani. Kila la kheri kwenye kupoa