Power G
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,884
- 1,200
Mara moja moja si mbaya!Hahahah mtawa mwenzangu naona unagawa mvinyo....
Mara moja moja si mbaya!Hahahah mtawa mwenzangu naona unagawa mvinyo....
AshaDii umenena vyema sana ila jamani naombeni nifunguke hapa kiualimu na chonde chonde mods msifute hii post wala kunilima ban lolest!
kwanza kabisa naomba nigeuke upande wa pili wa mtoa mada sitojadili kabisa matatizo ya wanaume ama ya upendo kwani waliotangulia wamesha sema.
dada hapo kinachokuongoza wewe ni hasira tena ambazo umezielekeza kwenye kutiwa kuliko kwenye kutafuta suluhu ya tatizo lako. umeweka moyo wako kwamba nimkomoe huyu bf kwa kupata mwenza ambaye atanipa raha tu na si kitu kingine zaid.
unapotamani kusagana na mwenzio kisa maudhi ya mwanaume nakutafsiri kwa namna mbili kwamba huyo mwanaume hakuwa anakutia vizuri so unataka kujaribu kutiana na msichana mwenzio ili upate raha stahiki na upande mwingine nakutafsiri kwamba ni tabia yako ya kusagana sasa gf wako wote wameshaondoka kundini so unataka ingizo jipya.
naamin katika furaha ya mtu ila siamini katika kupata furaha kinyume na taratizbu ambazo zimezoeleka na zinazoleta hisia mbaya maskioni mwa mtu. ni kweli kwamba utatumia dildo, mtasuguana visimi mtanyonyana nyuchi nk lkn ukasahau kwamba mwisho wa siku ungependa kuwa mahusiano ambayo hata mtu akikukuta mahali hata uliza kwann iko hivi. leo hii ukitoka na bf wako hata mkilaliana hadharani watu wataona poa tu ila ukiwa na msichana mwenzio mkakaliana kiasara tayari unageuka kuwa dar gumzo. kwangu mm huu ni ujinga na badala ya kujipa raha unajinyanyasa mwenyewe. mahusiano yasiyokuwa na amani bado ni mateso badala ya kuwa na raha. huwez ukarudi kwenu ukamwambia baba eti huyu ndo mume wangu (female) dah! sipat picha kwamba hata tu wazazi wako kuhisi kitu hicho kama utakuwa na amani nacho.
acha kuelekeza mawazo yako kwenye starehe ya kunyonywa kisimi na elekeza mawazo yako kwenye kupata amani nafsini iletayo raha. kukwaruzana kupo na hapo inakupasa ujifikirie unapitaje hapo na sio kufikiria kuuendea ubaya.
nisameheeni kwa kutumia lauagha ngumu.ila mwl huwa hana njia rahisi ya kuelewesha zaid ya kutumia mifano migumu.
Natumia mchina bana cjaiona lol
Tatizo ni kuwa wanaume sio wawazi... Ni kazi sana kujua mwanaume anakupenda kiasi gani, labda utumie vigezo vya nama anakujali na muda uliokuwa nae. Sababu at the end of the day wanaume tofauti na wanawake, hawezi kuwa na mwanamke sababu tu anamuonea huruma kuachana nae, suala ambalo kwa mwanamke inawezekana. Labda wavulana wengi unaweza jua kama anakupenda (sasa haya nayo ni mapenzi ya kitoto). Kujua kuwa Mwanaume anakupenda inahitaji umakini sana... Juu ya mambo mengi.
Mathcom na hata mwanaume akikupenda haina maana hawi na mpango wa pembeni... Possibility wa kuwa nao upo pale pale. Ila namna gani anachukulia huo mpango wa pembeni ndio inaweza kutoa kigezo to what extent akupenda. Kuna mwingine ni mpuuuzi kiasi kwamba anaweza acha hawara aende fanya fujo kwa mkewe na asifanye kitu, na mke pia usifanye kitu na mapenzi na hawara kama kawa... so kimsingi vitu vya kuangalia ni vingi sana.

Haya ni matokeo ya sisi wanawake kukosa haki zetu baada ya wanaume ku-opt kuhudumiana wenyewe kwa wenyewe. Inashangaza wanaume wamefikia mahali kutuona hatuwatimizii mahitaji yao hadi kuanza kuwatafuta mashoga!!!
wanaume stress tupu jaman unampenda mtu anakudanganya anakupenda kumbe mko kama 6 hivi mnatumika tu, mwenzenu nimechoka na hiii hali bora kuridhishana sisi kwa sisi kwa mwana dada alietayari ani PM tupeane maraha wenyewe tutapasuka vichwa bure atakae penda lakini sijawalazimisha mie, kwa mdada alietayari ani PM please tutafutane
hapo kwenye red umenichanganya kidogo, ndo kusema wenzetu mna mioyo mingi? kama kila mmoja unampenda kwa moyo wote basi unahitaji mioyo mi3 kupenda wanawake wa3Umeongea vizuri sana mkuu,
Mimi labda niwatoe woga tu wanawake, ni kwamba wanaume wakipenda wanapenda kweli tena kwa moyo wote ila shida
iliyopo ni kupenda mmoja tuu katika life yake, hii inakuwa kama vile hajazitumia vizuri neema zilizopo (si vyema hata hivo)!
Lakini hali hii huenda inapungua siku hadi siku, akifikia kwenye (40-45) wengi huwa wanaanza kutulia na kuhudumia familia
zao ikiwa ni pamoja na kuhangaikia maakazi ada za shule n.k.
Ushauri
Kama upo kwenye uhusiano na mwanamme anakupenda mnapendana, endeleeni kupendana na jaribu kumuweka karibu
kisaikolojia hata ukihisi kuna kimada pembeni, usijaribu kumkorofisha utampoteza, na hata ukipata mwengine ni hayo2
na labda wa mwanzo anaweza akawa nafuu !!
Ukishindwa yote haya basi tafuta mzee, utapata akiwa ametulia, ila sijui kama utayapata vyema mambo yaleeeeeeee!!
Tuko, siyo kujadiliana tu, u-provide na solution kabisaaaaaaaaaNikikumbuka trend ya threads zako, natamani siku moja nionane nawe uso kwa uso... tujadiliane..
wengine tuna mateja yetu!akha!twanuna tu usingizi ukitupitia,kisa umetupunguzia muda wa kuangakia macho!LOL!Bi dada sema baadhi ya wanaume, si wanaume wote wana tabia kama hizo.