Wanaume stress tupu!!

Anna pita

Anna pita

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
202
500
wanaume stress tupu jaman unampenda mtu anakudanganya anakupenda kumbe mko kama 6 hivi mnatumika tu, mwenzenu nimechoka na hiii hali bora kuridhishana sisi kwa sisi kwa mwana dada alietayari ani PM tupeane maraha wenyewe tutapasuka vichwa bure atakae penda lakini sijawalazimisha mie, kwa mdada alietayari ani PM please tutafutane
 
mathcom

mathcom

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,399
1,195

Jee kuna tatizo kwa mdada kuwa na wapenzi wengi, au yeye haina shida hata mkiwa sita !!
 
mathcom

mathcom

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,399
1,195
Juzi chini niliongelea masuala haya na kupeleka lawana nyingi kwa wanaume.. haya sasa kazi imeanza.....
 
AshaDii

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,229
1,500
Ana pole sana… Sasa hapa sijakuelewa… Wanaume ni stress sababu anawanawake wengi ama sababu kakudanganya? Ni wachache wenye kupenda mmoja na kugandana na huyo kila wakati. Ukweli ni kwamba mwanaume anaweza akwa na wanawake sita na akawapenda wote kabisa. Mwingine sababu anafurahia company, mwingine sababu wapo compactible on bed na mwingine sababu labda umemzalia mtoto ama watoto na ni mke na sababu nyingine nyingi tu. Is it right? Hapana! BUT bahati mbaya sana habari ndio hiyo...

Huwa nawashangaa sana wenye mapenzi ni almost perfect kila kitu kipo katika mstari but bado haridhiki na kutaka kuchokoa mengine zaidi ya hapo kwa kutafuta kasoro zilizopo! Ukiwa katika mahusiano, ukiona kila kitu kipo sawa na wafurahia mahusiano live the moment na ufurahie maisha (hope na wewe ulifanya hivo)…

For believe me you kuna wakati tu utafika utakuta kuwa hay ohayo mapenzi ni machungu hadi unajikuta unafungua thread kwa hasira na lawama nyingi or kufanya lolote lile mradi ujisikie amani. Kila la kheri kwenye kupoa…
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
31,211
2,000
khaaaaaaaaaaaa, wanaume mpo????
Tobaaaaaa
 
Mvaa Tai

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,171
2,000
Ana pole sana… Sasa hapa sijakuelewa… Wanaume ni stress sababu anawanawake wengi ama sababu kakudanganya? Ni wachache wenye kupenda mmoja na kugandana na huyo kila wakati. Ukweli ni kwamba mwanaume anaweza akwa na wanawake sita na akawapenda wote kabisa. Mwingine sababu anafurahia company, mwingine sababu wapo compactible on bed na mwingine sababu labda umemzalia mtoto ama watoto na ni mke na sababu nyingine nyingi tu. Is it right? Hapana! BUT bahati mbaya sana habari ndio hiyo...

Huwa nawashangaa sana wenye mapenzi ni almost perfect kila kitu kipo katika mstari but bado haridhiki na kutaka kuchokoa mengine zaidi ya hapo kwa kutafuta kasoro zilizopo! Ukiwa katika mahusiano, ukiona kila kitu kipo sawa na wafurahia mahusiano live the moment na ufurahie maisha (hope na wewe ulifanya hivo)…

For believe me you kuna wakati tu utafika utakuta kuwa hay ohayo mapenzi ni machungu hadi unajikuta unafungua thread kwa hasira na lawama nyingi or kufanya lolote lile mradi ujisikie amani. Kila la kheri kwenye kupoa…
Mimi ni mwanaume pia nashangazwa na haka kaugonjwa ka kutamani nje japokuwa mtu unakuwa umeoa au upo kwenye serious relationship. Binafsi ninampenda sana mke wangu sipo tayari kushuhudia hata siku moja ndoa yangu ikivunjika lakini pia ninawatamani mabinti wengine (Siyo kwamba nawapenda hapana ni kwamba nawatamani tu)
 
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
13,999
2,000
wanaume stress tupu jaman unampenda mtu anakudanganya anakupenda kumbe mko kama 6 hivi mnatumika tu, mwenzenu nimechoka na hiii hali bora kuridhishana sisi kwa sisi kwa mwana dada alietayari ani pm tupeane maraha wenyewe tutapasuka vichwa bure atakae penda lakini sijawalazimisha mie, kwa mdada alietayari ani pm please tutafutane

najiskia kinyaa kusoma post hiii

ptuuuuuh...,,

:a s 100:
 
mathcom

mathcom

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,399
1,195
Ana pole sana… Sasa hapa sijakuelewa… Wanaume ni stress sababu anawanawake wengi ama sababu kakudanganya? Ni wachache wenye kupenda mmoja na kugandana na huyo kila wakati. Ukweli ni kwamba mwanaume anaweza akwa na wanawake sita na akawapenda wote kabisa. Mwingine sababu anafurahia company, mwingine sababu wapo compactible on bed na mwingine sababu labda umemzalia mtoto ama watoto na ni mke na sababu nyingine nyingi tu. Is it right? Hapana! BUT bahati mbaya sana habari ndio hiyo...

Huwa nawashangaa sana wenye mapenzi ni almost perfect kila kitu kipo katika mstari but bado haridhiki na kutaka kuchokoa mengine zaidi ya hapo kwa kutafuta kasoro zilizopo! Ukiwa katika mahusiano, ukiona kila kitu kipo sawa na wafurahia mahusiano live the moment na ufurahie maisha (hope na wewe ulifanya hivo)…

For believe me you kuna wakati tu utafika utakuta kuwa hay ohayo mapenzi ni machungu hadi unajikuta unafungua thread kwa hasira na lawama nyingi or kufanya lolote lile mradi ujisikie amani. Kila la kheri kwenye kupoa…
Umeongea vizuri sana mkuu,
Mimi labda niwatoe woga tu wanawake, ni kwamba wanaume wakipenda wanapenda kweli tena kwa moyo wote ila shida
iliyopo ni kupenda mmoja tuu katika life yake, hii inakuwa kama vile hajazitumia vizuri neema zilizopo (si vyema hata hivo)!
Lakini hali hii huenda inapungua siku hadi siku, akifikia kwenye (40-45) wengi huwa wanaanza kutulia na kuhudumia familia
zao ikiwa ni pamoja na kuhangaikia maakazi ada za shule n.k.
Ushauri
Kama upo kwenye uhusiano na mwanamme anakupenda mnapendana, endeleeni kupendana na jaribu kumuweka karibu
kisaikolojia hata ukihisi kuna kimada pembeni, usijaribu kumkorofisha utampoteza, na hata ukipata mwengine ni hayo2
na labda wa mwanzo anaweza akawa nafuu !!
Ukishindwa yote haya basi tafuta mzee, utapata akiwa ametulia, ila sijui kama utayapata vyema mambo yaleeeeeeee!!
 
Wakutu

Wakutu

JF-Expert Member
Jun 4, 2012
246
225
Monkey mind!!!,kwa hiyo hujapata suruhisho lingine zaidi ya Hilo?
 
AshaDii

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,229
1,500
Mimi ni mwanaume pia nashangazwa na haka kaugonjwa ka kutamani nje japokuwa mtu unakuwa umeoa au upo kwenye serious relationship. Binafsi ninampenda sana mke wangu sipo tayari kushuhudia hata siku moja ndoa yangu ikivunjika lakini pia ninawatamani mabinti wengine (Siyo kwamba nawapenda hapana ni kwamba nawatamani tu)

Ndiyo kupenda huku huko.... Kupenda kumetofautiana, inaweza kuwa kwa kupita, kwa kufika, kwa kuonja. Iwe umemtamani ama kumpenda vyovyote utavyosema at the end of the day inapelekea vitu kama kulala nae na sometimes hata kumhudumia pia, na saa ingine kuwa hata extreme huyo wa nje akawa nyumba ndogo AMA sehemu ya kupozea whatever way utaita.

Maumbile tumetofautiana hasa katika biological make up. Wanaume wameumbwa kufurahia zaidi tendo tena kwa urahisi kuliko mwanamke. Kile kitendo cha kusema unaweza lala na wanawake 10 na ukapata ladha kumi tofauti ndicho hasa hatarishi na kupelekea wewe kuendelea kutamani sababu unajua fika kuwa new possibility ni new chance ya kupata ladha ingine iwe mbaya ama nzuri.

Ndio maana mnashauriwa once mmeoana kuweni wabunifu na kushikamana na kuepusha sana kutoka nje, suala ambalo huwa mtihani sana HASA kutokana na hulka, tabia, matokeo ya wake wengi kupoteza hamu ya kutaka kufanya mapenzi kama vile wakati wa urafiki ama mahusiano kabla ya kuwa pamoja kama mke na mme.
 
Top Bottom