Sasa dada yangu huko unakotaka kwenda unadhani napo hakuna stress au cheaters?
Je unayajua madhala ya homosexual?, kwa harakaharaka ngoja nikupe side effect ya huko unakotaka kwenda
1.Kutokuwa na hamu ya tendo na mwanaume hata kama utaolewa
2.Kuchelewa au kutokuolewa kabisa na hii inaweza kukupelekea kutopata mtoto kabisa
3.Lifetime stress, sasa hapa ndipo utapata stress za ukweli na uhakika ujue kuna wakati huwa binadamu tuna tamani kuwa na familia especially watoto wa kuzaa, kwa kuwa we muda wako utakuwa umeutumia kwenye u lesbian hutapata watoto ndipo stress za ukweli zinapo kuja. Hakuna raha hapa duniani kama kuitwa baba,mama,mke au mme wangu
Ushauri wangu kwako we ni bora ukaapembeni ya mahusiano kwa sasa mpaka utakapopata aliye tayari to take you home as a wife