Wanaume stress tupu!!

Wanaume stress tupu!!

umeongea vizuri sana mkuu,
mimi labda niwatoe woga tu wanawake, ni kwamba wanaume wakipenda wanapenda kweli tena kwa moyo wote ila shida
iliyopo ni kupenda mmoja tuu katika life yake, hii inakuwa kama vile hajazitumia vizuri neema zilizopo (si vyema hata hivo)!
Lakini hali hii huenda inapungua siku hadi siku, akifikia kwenye (40-45) wengi huwa wanaanza kutulia na kuhudumia familia
zao ikiwa ni pamoja na kuhangaikia maakazi ada za shule n.k.
ushauri
kama upo kwenye uhusiano na mwanamme anakupenda mnapendana, endeleeni kupendana na jaribu kumuweka karibu
kisaikolojia hata ukihisi kuna kimada pembeni, usijaribu kumkorofisha utampoteza, na hata ukipata mwengine ni hayo2
na labda wa mwanzo anaweza akawa nafuu !!
Ukishindwa yote haya basi tafuta mzee, utapata akiwa ametulia, ila sijui kama utayapata vyema mambo yaleeeeeeee!!

well said..,,

sina cha kuongeza hapo
 
Wanaume wengi ni kunguru wasiogugika!! Tena ni bora ujua mko wengi kuliko aku-fix eti uko peke yako!!!! Cha msingi mapenzi yapo na huduma unapata au madharau full? Wabaya ni wale ambao dharau ndo mwake akishapata jike lingini nje!! Kusagana si solution, nayo ni stress nyingine!! Hata wasagaji nao wana mabwana wa kike!!! Ha ha ha!!!
 
Mi najua kwa unafiki wa binadamu huyu dada anaweza kurushiwa maneno sana na kila mmoja akijidai kuwa hapendi usagaji,lakini ukweli ni kuwa bora huyu amekuwa muwazi kuliko wengine wakikana hapa wakati wanafanya huko vichochoroni.
Binadamu ni wanafiki sana tena sana,huenda wasagaji wamejazana humu!
 
Ushauri
Kama upo kwenye uhusiano na mwanamme anakupenda mnapendana, endeleeni kupendana na jaribu kumuweka karibu
kisaikolojia hata ukihisi kuna kimada pembeni, usijaribu kumkorofisha utampoteza, na hata ukipata mwengine ni hayo2
na labda wa mwanzo anaweza akawa nafuu !!
Ukishindwa yote haya basi tafuta mzee, utapata akiwa ametulia, ila sijui kama utayapata vyema mambo yaleeeeeeee!!

Tatizo ni kuwa wanaume sio wawazi... Ni kazi sana kujua mwanaume anakupenda kiasi gani, labda utumie vigezo vya nama anakujali na muda uliokuwa nae. Sababu at the end of the day wanaume tofauti na wanawake, hawezi kuwa na mwanamke sababu tu anamuonea huruma kuachana nae, suala ambalo kwa mwanamke inawezekana. Labda wavulana wengi unaweza jua kama anakupenda (sasa haya nayo ni mapenzi ya kitoto). Kujua kuwa Mwanaume anakupenda inahitaji umakini sana... Juu ya mambo mengi.

Mathcom na hata mwanaume akikupenda haina maana hawi na mpango wa pembeni... Possibility wa kuwa nao upo pale pale. Ila namna gani anachukulia huo mpango wa pembeni ndio inaweza kutoa kigezo to what extent akupenda. Kuna mwingine ni mpuuuzi kiasi kwamba anaweza acha hawara aende fanya fujo kwa mkewe na asifanye kitu, na mke pia usifanye kitu na mapenzi na hawara kama kawa... so kimsingi vitu vya kuangalia ni vingi sana.
 
@Ashadii sema baadhi ya Wanaume... lol!!! Wengine huwa wanafunguka na kumfahamisha muhusika anapendwa kiasi gani.

wanaume stress tupu jaman unampenda mtu anakudanganya anakupenda kumbe mko kama 6 hivi mnatumika tu, mwenzenu nimechoka na hiii hali bora kuridhishana sisi kwa sisi kwa mwana dada alietayari ani PM tupeane maraha wenyewe tutapasuka vichwa bure atakae penda lakini sijawalazimisha mie, kwa mdada alietayari ani PM please tutafutane

mnayataka wenyewe...nyie yoeni bupa bila commitment wala msingekuwa mnadanganywa ba kuishia kupata stress.
ila nimekubali sana hiyo idea ya kupata mwanamke...ngoja nikupe rafiki yangu. utaenjoy sana ila nakaribishwa kuwatch?
 
@Ashadii sema baadhi ya Wanaume... lol!!! Wengine huwa wanafunguka na kumfahamisha muhusika anapendwa kiasi gani.

hahahaha! Bak bana hiyo ni given! Lol. Ni baadhi ya wanaume :wink2: Tena basi nilieleza kwa mbele kuwa ni wanaume wachache huwa wakweli kwa wapenzi wao. Hivo disclaimer kuwa sio wooote...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahah watz kwa kupretend hawajambo,ka kwenye topic za tigo wakiwa humu jamvin wanaponda mbaya ila matukio ya kuliwa tigo wanawake imekuwa fashen hata kwa wanandoa,so mtu wajiuliza ka wengi wanaonyesha kulaan kitendo hicho wanaofanya ni kina nani? Tuachen unafiki kwenye keyboards......
oh dear lord have mercy on Ciello
 
AshaDii ,i disagree,kupenda na kutamani ni vitu viwili tofauti sana tena sana.
Havifanani
Penye tamaa upendo haupo kabisa,tamaa ni adui wa upendo!
 
Last edited by a moderator:
Sasa dada yangu huko unakotaka kwenda unadhani napo hakuna stress au cheaters?
Je unayajua madhala ya homosexual?, kwa harakaharaka ngoja nikupe side effect ya huko unakotaka kwenda
1.Kutokuwa na hamu ya tendo na mwanaume hata kama utaolewa
2.Kuchelewa au kutokuolewa kabisa na hii inaweza kukupelekea kutopata mtoto kabisa
3.Lifetime stress, sasa hapa ndipo utapata stress za ukweli na uhakika ujue kuna wakati huwa binadamu tuna tamani kuwa na familia especially watoto wa kuzaa, kwa kuwa we muda wako utakuwa umeutumia kwenye u lesbian hutapata watoto ndipo stress za ukweli zinapo kuja. Hakuna raha hapa duniani kama kuitwa baba,mama,mke au mme wangu
Ushauri wangu kwako we ni bora ukaapembeni ya mahusiano kwa sasa mpaka utakapopata aliye tayari to take you home as a wife
 
Mwanamke anayezungumza kuhusu jambo hilo ni mwenyeji haswaa, na wala si mgeni kwa hiyo kama aliacha kwa muda akapata boy friend akamtenda ndio hapo sasa anataka kurudia tena............
 
Wewe kweli uchizi umeshaupata yaani unataka usagane na mwanamke mwenzako kutatua tatizo la mwanaume wako??

Hovyo kabisa .....nina zako.............

Wewe wifi mwenzio ana stress unamkaripia?! Lol. Acha ukorofi bana!
 
AshaDii ,i disagree,kupenda na kutamani ni vitu viwili tofauti sana tena sana.
Havifanani
Penye tamaa upendo haupo kabisa,tamaa ni adui wa upendo!

Eiyer nakubaliana na wewe, naona sijaitolewa ufafanuzi vizuri... Zipo tofauti. Nilikuwa na maana haijalishi anatoka na mtu wa nje kwa ajili gani matokeo ni yale yale.
 
Mhhhm yani mwanamke akailalamika ni kosa, mbona ni kawaida hajaridhika na wanaume wengine:biggrin1:

BTW; Kama unatumia smart fone, tafuta location ambayo wapo wanaume tofouti na hao ulio kutana nao, wakuonyeshe dunia usio ijua :biggrin1:
 
Anna.. Pole mamito!!

Unadhani hiyo ndio solution???

Wenzio tunatendwa , tunalia, tunajifuta vumbi tunasonga mbele kwa hawa hawa wanaume..!! Achana na hizo mambo za kusagana..!! Iko siku utampata tuu mwanaume mwenye mapenzi ya dhati!!
 
Mi najua kwa unafiki wa binadamu huyu dada anaweza kurushiwa maneno sana na kila mmoja akijidai kuwa hapendi usagaji,lakini ukweli ni kuwa bora huyu amekuwa muwazi kuliko wengine wakikana hapa wakati wanafanya huko vichochoroni.
Binadamu ni wanafiki sana tena sana,huenda wasagaji wamejazana humu!

shangaa nawewe
 
Hahahah watz kwa kupretend hawajambo,ka kwenye topic za tigo wakiwa humu jamvin wanaponda mbaya ila matukio ya kuliwa tigo wanawake imekuwa fashen hata kwa wanandoa,so mtu wajiuliza ka wengi wanaonyesha kulaan kitendo hicho wanaofanya ni kina nani? Tuachen unafiki kwenye keyboards......

Huu ni ukweli unaouma.
 
Wewe kweli uchizi umeshaupata yaani unataka usagane na mwanamke mwenzako kutatua tatizo la mwanaume wako??

Hovyo kabisa .....nina zako.............
hahahahaha...leo siku nzima sijacheka, nimesoma tu hii post yako nikaangua kicheko!!
 
I still don't believe that mtu awe anajua maana ya kupenda halafu acheat.

Kupenda ni jambo kubwa sana,huwezi kumpenda mtu halafu umuumize kihisia au kimwili!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom