Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,172
Kwani ndugu zako wa kiume nao wako hivyo?
Leo nakukubali hasa Nyani Ngabu......Ndoa inalindwa kwa uadilifu, uwazi, ukweli, na upendo wa kweli. Hailindwi kwa kuyaficha machafu.
Kumbe hili tatizo la kijamii ehh??mie nshajizoelea, siku hizi nna vitabu kibao hapa namalizia Hidden truth, najisomea mpaka usingizi unanipitia.
ukianza kuumiza kichwa huyu anafanya hivi mara vile utajikuta umestuck.
you stop your life waiting for him to change.
find something to replace him.
Yani katika siku ambazo umeongea points basi ni leo......Ndoa inalindwa kwa uadilifu, uwazi, ukweli, na upendo wa kweli. Hailindwi kwa kuyaficha yaliyo machafu.
Umalaya uko wa aina nyingi sio lazima uwe physically hata wa kwenye mtandao ni umalaya na usaliti vilevile....Ukiona mwanaume wako hakuachi huru na simu yake ujue kawapanga wengi na ndio maana hata kitandani anakuja saa sita coz he has alot of women to be pleasing....Just speaking my mind.....Wanajamvi natumai siku yenu imeisha salama salimini,hivi inakuwaje mwanaume una mke,ila kucha kutwa uko bzy tu bado, jamani mnatafuta nini huko au kuna la ziada,? Mwanaume anakula na sim mkononi ni ku chart tu na wanawake mnaandikiana sms za ngono tu, mwanaume una lala sa sita kisa bado!!!mh!!! Siamini kama ni wote mtakuwa na hiyo tabia,ila nitafsireni mwanaume wa hivi ana maana gani?mnapaka kufanya kazi fulan mwenzako anaingia ndani udhani labda kaenda kujisaidia anachelewa unaamua kumfuta una kuta yuko bz na sm bado!!!!! Sim hizi!!
Mnasemeswa hata kujibu mnashindwa kisa bado!!!! Jamni ukitaka udumu kwenye ndoa yako kwa amani na upendo acha ku chart kwenye hii mitandao, mana mnafanya sim kama wake zenu,mkeo yuko kitandani saa tatu we kwenye kochi mpaka saa sita.mh!!!
Kwanini unaenda kulala kitandani bila mumeo??Kaa nae achat on ur face ka kanyimwa mshipa wa haya ka kijogoo,halafu na akijifanya anakupuuza na ww chukua sim yako ikisha chat na ufurahi kwa sana...Utakufa siku zako loh hujui ka dawa ya moto ni moto.....Give it back to him on his face sawa mamii ehhh...Ukiona hakuna hata kawivu ujue mapenzi kwishnei!!Mnasemeswa hata kujibu mnashindwa kisa bado!!!! Jamni ukitaka udumu kwenye ndoa yako kwa amani na upendo acha ku chart kwenye hii mitandao, mana mnafanya sim kama wake zenu,mkeo yuko kitandani saa tatu we kwenye kochi mpaka saa sita.mh!!!
Wale wale...he he he hii ni addiction unajua!!Nikiambiwa nichague kumuachia simu yangu mke wangu kwa muda wa masaa manne au kukaa jela siku nzima nzima nachagua kukaa jela.
Cut us some slack!!!Your wife is ur better half....Indeed anapaswa kupewa kila upendeleo mpaka aombe poo...Mke is just a friend, kumpa vyote hvyo ni kumpendelea sana,
Tugawane mishahara hiyo basi.
Baba we,kwahiyo sie wachaga wa kiborlon tunataka biashara chafu?
Leo nitakunyima wallah![]()
Yani katika siku ambazo umeongea points basi ni leo......
Usiulize kwanini.
Wewe ndo mwenye haki ya kutumia mitandao hii kuliko mmeo!!!?Mnasemeswa hata kujibu mnashindwa kisa bado!!!! Jamni ukitaka udumu kwenye ndoa yako kwa amani na upendo acha ku chart kwenye hii mitandao, mana mnafanya sim kama wake zenu,mkeo yuko kitandani saa tatu we kwenye kochi mpaka saa sita.mh!!!