King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
And here goes my campaign manager. No wonder I miss you sometimes hehehe.
Natumai uko poa bestie
Natumai uko poa bestie
Huyu mwamba ukikutana naye kwenye foleni ya ATM kakaa mbele yako, muombe tu akuruhusu uanze wewe, akianza yeye anamaliza hela zote kwenye ATM halafu akaunti yake ndiyo kwanza inapiga jalamba hata mchezo haijaanza.
Siku moja alienda kufanya transaction benki mpaka meneja wa benki aliomba msamaha kwa sababu alikuwa anaweka hela ina tarakimu nyingi sana mpaka zile karatasi za benki zikawa zimefika mwisho kwenye ledger line lakini hela ya mchizi haijaisha kuandikwa.
Ikabidi wamtengenezee karatasi zake mpya za peke yake.
