Wanaume, simu zenu zina nini?

Wanaume, simu zenu zina nini?

Umalaya uko wa aina nyingi sio lazima uwe physically hata wa kwenye mtandao ni umalaya na usaliti vilevile....Ukiona mwanaume wako hakuachi huru na simu yake ujue kawapanga wengi na ndio maana hata kitandani anakuja saa sita coz he has alot of women to be pleasing....Just speaking my mind.....
Muhimu ujue wewe ndo kilakitu
 
si umwambie... kuja huku unafikiri ndio kujenga?? wanaume tuna mishe nyingi kuhakikisha nyie mnatulia lakini wapiiiii??? tena nyie WAMARANGU nyie!!!!!!!!!
 
Ndio madhara ya teknolojia hayo ,mnatoka out group la watu kama sita mmekaa meza moja kila mtu na simu yake kama mazombi hivi ,nikitoka out kuna kitochi changu huwa natoka nacho kwanza hakina hata vocha ila inapobidi ndio naingia M-PESA incase ya tatizo lolote usiku ,
 
Wanajamvi natumai siku yenu imeisha salama salimini,

Hivi inakuwaje mwanaume una mke, ila kucha kutwa uko bzy tu bado, jamani mnatafuta nini huko au kuna la ziada? Mwanaume anakula na sim mkononi ni ku chart tu na wanawake mnaandikiana sms za ngono tu, mwanaume una lala sa sita kisa bado!!!mh!!!

Siamini kama ni wote mtakuwa na hiyo tabia, ila nitafsireni mwanaume wa hivi ana maana gani? Mnapanga kufanya kazi fulan mwenzako anaingia ndani unadhani labda kaenda kujisaidia anachelewa unaamua kumfuta una kuta yuko bz na sm bado!!!!! Sim hizi!!
Acha uchochezi kwa sababu huo utafiti wako sijui unawalenga wanaume au wavulana. Kwa sababu kwa maelezo yako wewe unazungumzia wavulana. Hivyo ni vema ukarudi tena kazini ili kujenga hoja yenye mashiko na pia kwa pamoko tuweze kuweka mkakati kabambe wa kushughulikia upungufu huo.
 
Wanajamvi natumai siku yenu imeisha salama salimini,

Hivi inakuwaje mwanaume una mke, ila kucha kutwa uko bzy tu bado, jamani mnatafuta nini huko au kuna la ziada? Mwanaume anakula na sim mkononi ni ku chart tu na wanawake mnaandikiana sms za ngono tu, mwanaume una lala sa sita kisa bado!!!mh!!!

Siamini kama ni wote mtakuwa na hiyo tabia, ila nitafsireni mwanaume wa hivi ana maana gani? Mnapanga kufanya kazi fulan mwenzako anaingia ndani unadhani labda kaenda kujisaidia anachelewa unaamua kumfuta una kuta yuko bz na sm bado!!!!! Sim hizi!!
Pili pili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom