Ha haaa huyu tunamalizana ndani ya shuka tu,ila yakinibana sana ntakuletea tu wifi yanguToooobah!
Kumbe weye wifi yangu. Hehehe Ila usiniletee kesi siku ukitendwa
Chako changu, changu changu.Chanjo chenji, bangu bangu.Tugawane vicheko kwa kweli. Kwenye pesa pita kuleee![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ndo mana unakadiliwa 60-65,umri wa ur mama kwa maneno ya busara uliyonayoNdoa inalindwa kwa uadilifu, uwazi, ukweli, na upendo wa kweli. Hailindwi kwa kuyaficha yaliyo machafu.
ndo mana unakadiliwa 60-65,umri wa ur mama kwa maneno ya busara uliyonayo
Huo ndio uanaume hasa, nakupa salute zote mkuu, sio jitu lina mke ndani bado linahangaika nje bila hata sababu, wengine visingizio vya kipumbav, matatzo yanayoeleweka kabsa tena kwa kukaa chin na kuyamalza yeye na mwenzi wake, soln anaona kukimbilia nje..Dah nashkuru wife anajua kila paswd yangu ,kuanzia simu email mpaka ya hapa JF yaani hata nikifa leo sipati tabu mtu wakufuta account zangu,kama nimeshaamua kuwa na mke nje nataka nini zaidi?
nahuyu mleta uzi anasema bado au badoo?
Mi ikitokea nikaja kuwa na mke basi simu yangu, email, JF account na kadhalika vyote atakuwa na access navyo.
How old r u?Wanajamvi natumai siku yenu imeisha salama salimini,
Hivi inakuwaje mwanaume una mke, ila kucha kutwa uko bzy tu bado, jamani mnatafuta nini huko au kuna la ziada? Mwanaume anakula na sim mkononi ni ku chart tu na wanawake mnaandikiana sms za ngono tu, mwanaume una lala sa sita kisa bado!!!mh!!!
Siamini kama ni wote mtakuwa na hiyo tabia, ila nitafsireni mwanaume wa hivi ana maana gani? Mnapanga kufanya kazi fulan mwenzako anaingia ndani unadhani labda kaenda kujisaidia anachelewa unaamua kumfuta una kuta yuko bz na sm bado!!!!! Sim hizi!!
huwa tunakuwa JF mamito!Wanajamvi natumai siku yenu imeisha salama salimini,
Hivi inakuwaje mwanaume una mke, ila kucha kutwa uko bzy tu bado, jamani mnatafuta nini huko au kuna la ziada? Mwanaume anakula na sim mkononi ni ku chart tu na wanawake mnaandikiana sms za ngono tu, mwanaume una lala sa sita kisa bado!!!mh!!!
Siamini kama ni wote mtakuwa na hiyo tabia, ila nitafsireni mwanaume wa hivi ana maana gani? Mnapanga kufanya kazi fulan mwenzako anaingia ndani unadhani labda kaenda kujisaidia anachelewa unaamua kumfuta una kuta yuko bz na sm bado!!!!! Sim hizi!!
tunachat na ngombe au?....tuliza akilikwanza...tuna chat na wanawake sisi....Wanajamvi natumai siku yenu imeisha salama salimini,
Hivi inakuwaje mwanaume una mke, ila kucha kutwa uko bzy tu bado, jamani mnatafuta nini huko au kuna la ziada? Mwanaume anakula na sim mkononi ni ku chart tu na wanawake mnaandikiana sms za ngono tu, mwanaume una lala sa sita kisa bado!!!mh!!!
Siamini kama ni wote mtakuwa na hiyo tabia, ila nitafsireni mwanaume wa hivi ana maana gani? Mnapanga kufanya kazi fulan mwenzako anaingia ndani unadhani labda kaenda kujisaidia anachelewa unaamua kumfuta una kuta yuko bz na sm bado!!!!! Sim hizi!!
Nilikuwa najiuliza shida yako hasa ni nini sasa umeanza kufunguka. Kumbe shida ni huyu jamaa yako kuchelewa kuja kutoa huduma nyeti kitandani! Hii haina uhusiano na simu wala kuchati wala TV kama unavyodhani- manaake hamchelewi kuingilia na uhuru wetu wa kuangalia TV. Wewe sema naye tu akueleze shida yake ya msingi ni nini.Mnasemeswa hata kujibu mnashindwa kisa bado!!!! Jamni ukitaka udumu kwenye ndoa yako kwa amani na upendo acha ku chart kwenye hii mitandao, mana mnafanya sim kama wake zenu,mkeo yuko kitandani saa tatu we kwenye kochi mpaka saa sita.mh!!!
Hii siyo wote labda huyo jamaa yako tu. Sisi wengine tukisemeshwa tunajibu wakati tukiendelea kuchati na kuangalia TV kama kawaida. Haya mambo hayana uhusiano kabisa bibiye.Mnasemeswa hata kujibu mnashindwa kisa bado!!!! Jamni ukitaka udumu kwenye ndoa yako kwa amani na upendo acha ku chart kwenye hii mitandao, mana mnafanya sim kama wake zenu,mkeo yuko kitandani saa tatu we kwenye kochi mpaka saa sita.mh!!!
Bado unasubiri tuNa mimi nasubiri hayo majibu yao kwa hamu
Nashukuru kwa kutuelewaHawa viumbe ndo walivyo
unaweza kuwa huna mke kweli wewe maana mpaka saa tisa upo jfMi ikitokea nikaja kuwa na mke basi simu yangu, email, JF account na kadhalika vyote atakuwa na access navyo.