Ukali, maneno yako,kujifanya mjuaji' mi nikajua unakimbilia 60 or 65 years kabisa, kumbe ndo unaanza .... Natamani nikuone hata mara 1Mi ikitokea nikaja kuwa na mke basi simu yangu, email, JF account na kadhalika vyote atakuwa na access navyo.

Simu,vocha,laptop vyote anakununulia yeye si ndio??????
Mnasemeswa hata kujibu mnashindwa kisa bado!!!! Jamni ukitaka udumu kwenye ndoa yako kwa amani na upendo acha ku chart kwenye hii mitandao, mana mnafanya sim kama wake zenu,mkeo yuko kitandani saa tatu we kwenye kochi mpaka saa sita.mh!!!
Utakapomuumba?Mi ikitokea nikaja kuwa na mke basi simu yangu, email, JF account na kadhalika vyote atakuwa na access navyo.
Sasa niwahi kitandani kufanya nini?wakati najua hutoki!Mnasemeswa hata kujibu mnashindwa kisa bado!!!! Jamni ukitaka udumu kwenye ndoa yako kwa amani na upendo acha ku chart kwenye hii mitandao, mana mnafanya sim kama wake zenu,mkeo yuko kitandani saa tatu we kwenye kochi mpaka saa sita.mh!!!
Ukali, maneno yako,kujifanya mjuaji' mi nikajua unakimbilia 60 or 65 years kabisa, kumbe ndo unaanza .... Natamani nikuone hata mara 1![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Utakapomuumba?
Simu,vocha,laptop vyote anakununulia yeye si ndio?
typa men.Mi ikitokea nikaja kuwa na mke basi simu yangu, email, JF account na kadhalika vyote atakuwa na access navyo.




