Wanaume, simu zenu zina nini?

Wanaume, simu zenu zina nini?

Acha ushamba wewe! Kwahiyo tunaochangia hapa ni tunatongoza? Mimi mwenyewe nakua busy na simu hata 18hrs ila nakuwa natafuta habari mpya, kuchangia mada mbalimbali hasa jukwaa la siasa, sasa na mke wangu analalamika hivo hivo kuwa niko busy na wanawake. Msipende kuwa na mawazo ya kizamani.
 
Mpaka saa sita usiku unachangia mada!!!!! Ya mada za familiya yako unachangia saa ngapi boss???
 
Mnasemeswa hata kujibu mnashindwa kisa bado!!!! Jamni ukitaka udumu kwenye ndoa yako kwa amani na upendo acha ku chart kwenye hii mitandao, mana mnafanya sim kama wake zenu,mkeo yuko kitandani saa tatu we kwenye kochi mpaka saa sita.mh!!!
Pole sasa dadaaang manka. Yamekufka hapaaaazz??? ndoa ndoano
 
Tukianza mahusiano nnje mnaanza oh!!mke amekuwa kicheche!!kumbe mnayatafuta wenyewe!
 
Kwa hiyo mnalipiza kisasi? Mbona wanawake mnajidai wema,but mnatoka nje ya ndoa (walio olewa) mara nyingi tu hata kuzidi wanaume! Ila mnafanya kwa siri kubwa,hata phone no hamueki ndan ya cm,mnazishika kichwani!
 
Nina hela za kunitosha kuweza kujinunulia chochote kile nitakacho.

Sinunuliwi vitu na mtu mimi.

Mwulize Kiranga...atakwambia.
Huyu mwamba ukikutana naye kwenye foleni ya ATM kakaa mbele yako, muombe tu akuruhusu uanze wewe, akianza yeye anamaliza hela zote kwenye ATM halafu akaunti yake ndiyo kwanza inapiga jalamba hata mchezo haijaanza.

Siku moja alienda kufanya transaction benki mpaka meneja wa benki aliomba msamaha kwa sababu alikuwa anaweka hela ina tarakimu nyingi sana mpaka zile karatasi za benki zikawa zimefika mwisho kwenye ledger line lakini hela ya mchizi haijaisha kuandikwa.

Ikabidi wamtengenezee karatasi zake mpya za peke yake.
 
Hii mitandao ya kijamii imeleta shida sana msipokua makini mnaeza jikuta mnaishia kwenye maugomvi ya kila sikuu.
Cha msingi zungumza na mmeo au mpenz wako weken mipaka ya kuchart..mfano muda wa kula no kushika simu kati yenu nk.
 
Muda huu niko jamii forum hapa unataka kuniambia natuma meseji za mapenz?????
 
Kuna mengi sana ya binafsi ya kufanya zaidi yankumfatilia mtu a nachat na nani.
Mie hesabu zangu ni rahisi tuu, nikiona mtu hanipi muda ninaompa mimi basi simfatilii nampa uhuru wake nami nageuka kufanya yangu mengine. Akija kustuka kuwa sina habari nae kama akinikuta bado available basi bahati yake laah itakuwa imekula kwake mazima.

Kasie.
Aaah hata kama nikikukuta umelala unakoroma lazima nikuamshe unipe haki yangu bhana Kasinde,ni kwa raha na karaha tumeapa kanisani,yaani nakupanua tu hata ukasirike baby.
 
Wanajamvi natumai siku yenu imeisha salama salimini,hivi inakuwaje mwanaume una mke,ila kucha kutwa uko bzy tu bado, jamani mnatafuta nini huko au kuna la ziada,? Mwanaume anakula na sim mkononi ni ku chart tu na wanawake mnaandikiana sms za ngono tu, mwanaume una lala sa sita kisa bado!!!mh!!! Siamini kama ni wote mtakuwa na hiyo tabia,ila nitafsireni mwanaume wa hivi ana maana gani?mnapaka kufanya kazi fulan mwenzako anaingia ndani udhani labda kaenda kujisaidia anachelewa unaamua kumfuta una kuta yuko bz na sm bado!!!!! Sim hizi!!
Te Te Te Te Te yaan huu uzi umenkamata Leo usk kati nko na sim ndii while my dear wife amelala but sio kila mwanaume aliye busy with phone is charting na women.Some of us tunasoma sana kwenye hiz social media kuongeza maarifa. Nmejifunza a lot of things kupitia social media kwa kutumia sim especially marketing strategies na nmekuza my business kwa kufanya marketing through phones. All in all hoja yko n nzur hasa kwenye kutenganisha Muda WA sim, kazi na socialization especially with children any your wife. Claim your space unapoona ur husband is too much on phone jpo utumie busara kuongea naye sio mabavu.
 
Mnasemeswa hata kujibu mnashindwa kisa bado!!!! Jamni ukitaka udumu kwenye ndoa yako kwa amani na upendo acha ku chart kwenye hii mitandao, mana mnafanya sim kama wake zenu,mkeo yuko kitandani saa tatu we kwenye kochi mpaka saa sita.mh!!!
Inategemea unatumia vip hyo mitandao na reception ya mkeo pia wengine wakishapata watoto basi kila musa yuko kwa watoto mume unatelekezwa unasema MPKA unachoka mwisho unaona isiwe taabu sana wacha social media iwe my favorite part. Pia tambua kua km uko na business social media is very important for marketing. I can confirm on this
 
Tukianza mahusiano nnje mnaanza oh!!mke amekuwa kicheche!!kumbe mnayatafuta wenyewe!
Inaonyesha mume hakupigi ze duduz ndio maana unalalamika angekuwa ana kuoa duduz ya maana wala usingelalamika
 
Mimi nilifikiri wanawake ndio wako busy sana na simu zao. Mimi nikikuona uko busy na simu wala sikuulizi natafuta cha kufanya ukimaliza tutaendelea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom