Wanaume shida ni nini?

Wanaume shida ni nini?

Tuna mahusiano ya muda mrefu tu zaidi ya mwaka, huyu jamaa tangu naanza nae mahusiano amekuwa akilazimisha nimwambie kuhusu background yangu ila mimi namkwepa

Yaani yeye kazi yake ni kunihadithia kuhusu ex’s zake mara ooh mara uuh anyway mimi sijajali sana kuhusu hilo

Katika story story tukajikuta tumeingizia hiyo mada tena tunatania basi ye kusema ashatembea na dadaz wengi tu na Mimi nikamwambia yeye ndio wa pili kwangu

Swali likaja ilikuaje ukatolewa bikira… nikamuelezea ilivyokuwa tukaagana leo siku ya 2 hatuwasilianii

Kwani kosa langu nini hapo nyie wana JF
[emoji23][emoji23] VP tena akaamua kuyeya
 
Mimi huwa nina tabia katika mastory lazima niwaongelee maex's,kumbe hii ikawa inamuumiza sana mke wangu

Baadae nae akaanza kuwa ananipa mastory yake mengi mengi ya kuhusu kuliwa na mpaka alivyotolewa bikra na jamaa mkubwa tu alikuwa daktar yeye wakati huo akiwa form 2,pia akawa ananihadithia jinsi alivyokuwa analiwa na wababa wazima wenye familia zao tena yeye akiwa kidogo kident,nikawa naumia kiaina ila napotezea

Ila kuna siku alinipa story ambayo niliumia sana mpaka leo,aliniambia aliwah kuwa na mahusiano na dogo aliekuwa form 2 na wakat huo mke wangu alikuwa ameshakuwa mkubwa tu yupo mtaani,na aliliwa na huyo dogo kimasihara na baadae ikatokea akampenda kiukwel kwel huyo dogo,hii story ilinipiga ganzi
Vipi uko naye sasahivi?
Heshima bado ipo?
 
Nimekuwa na mahusiano na kijana kwa mwaka 1 na miezi 10 ila sijawahi kupata yale mahaba yenyewe. Ukitoa zile siku za mwanzo ni za mahaba, ile miezi 3 ya mwanzo.

Mfano kukuita majina mazuri mazuri like sweetheart, honey, mke n.k Yaani kiufupi hana matendo ya mahaba.

Unaweza kumuaga kwenda mahali akakwambia sawa ila hakuulizi unaenda wapi na kufanya nini, kiufupi hana amshaamsha.

Anaweza kukaa hata siku 3 hamjawasiliana na akikutafuta hamna hata stori.

Mwenzenu nimechoka natamani kupata mtu ambaye ana mahaba na mimi nifurahie.

Mpaka nimekumbuka Ex wangu alikuwa ananiita majina matamu hata kama ananidanganya.

Naombeni majibu-
  1. Ni tabia ya wanaume wa Kichaga?
  2. Ni Tabia ya mtu binafsi?
  3. Hanipendi?
labda aliona hii post
 
Moja ya sababu amabazo mwanamke inatakiwa uzikwepe ili kulinda ndoa/penzi lako kwa mwanaume

Mojawapo ni
Usimwambie/kumhadithia mume/mpenzi wanaume uliowahi kuwa nao kwenye mahusiano piga ua usiseme.
Kumtishia kuondoka kila mnapogombana
Kumlinganisha yeye na wanaume wengine kama vile kiuchumi nk.

Zinaweza kuwepo nyingi lakini zingatia hizo chache
 
Back
Top Bottom