Wanaume shida ni nini?

Wanaume shida ni nini?

S
Tuna mahusiano ya muda mrefu tu zaidi ya mwaka, huyu jamaa tangu naanza nae mahusiano amekuwa akilazimisha nimwambie kuhusu background yangu ila mimi namkwepa

Yaani yeye kazi yake ni kunihadithia kuhusu ex’s zake mara ooh mara uuh anyway mimi sijajali sana kuhusu hilo

Katika story story tukajikuta tumeingizia hiyo mada tena tunatania basi ye kusema ashatembea na dadaz wengi tu na Mimi nikamwambia yeye ndio wa pili kwangu

Swali likaja ilikuaje ukatolewa bikira… nikamuelezea ilivyokuwa tukaagana leo siku ya 2 hatuwasilianii

Kwani kosa langu nini hapo nyie wana JF
Some kids!😂😂😂😂
 
Unadate na Mvulana alafu unakuja kutulaumu wanaume wote humu ndani?
 
Tulia umeyataka mwenyewe
Yaan wengine watoe bikra yeye ndiyo aoe??? Halafu alipe na mahari? Daaah inauma sana

Nyie mabinti mnachekesha sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Kwani mimi nimemwambia anioe then yeye katoa bikira za wangapii aje angoje kuoa mwenye nayo… na hajawai kusema anataka bikira
 
Wote wawili, nimemsitiri tu huyo binti pengine kwa upumbavu wake ni singo maza anaejitafutia kipato kwa kuvua chupi.

Ooh ramli yako imebuma labda Kama ni mpumbavu ila sijafikia hiyo hatua ya kuwa single mama
 
Wanawake huja kutambua baadaye sana tena kwa kuchelewa kuwa idadi ya wanaume aliowavulia chupi inaweza kumkosesha mume endapo mpenzi wake wa sasa aliyeonyesha nia ya kumuoa atajua

Na ndio maana hapa wanawake wengi huwa wanawadanganya wapenzi wao

Ipo hivi naturally wanaume tunapenda kujua background ya mwanamke kama vile wanawake wanavyopenda kujua future ya mwanamume kabla ya ndoa
​
 
Kako na Umri gani hako ka Mkijana?
Na wewe miaka yako ni ngapi?

Si kwa ubaya....
 
Mi naona mwanamke hutakiwi kabisa kumwambia mtu mambo ya ma ez zako na mambo ya kutolewa bikra ,yeye hata akiongea vipi ww usiongee mwache yeye aongee tu na hata akiuliza tafuta namna nzuri ya kumwambia ili kulinda uhusiano wenu .
Ukishamhadithia tu hisia zinaanza kupungua.
 
Back
Top Bottom