Wanaume shida ni nini?

Wanaume shida ni nini?

Huyo jamaa ni legend alikuwa anatafta Exit door [emoji16][emoji16][emoji16]

Kwaiyo tangu ananitongoza alitafuta exit door maana mwanzo tunaaza swali lilikuwa hilo mpk Leo hii ni hilohilo tu
 
Kwaiyo tangu ananitongoza alitafuta exit door maana mwanzo tunaaza swali lilikuwa hilo mpk Leo hii ni hilohilo tu
Siungemuambia Frank ndio alikubikiri mwaka jana na ulimpa mwenyewe tuu shida nini na ni bikra ya mbele ya nyuma ipo
 
Huyo bado hajawa matured....mwanaume serious anaanzia pale alipokukuta mambo ya nyuma hayamuhusu
 
Kiroho mtu anayeifungua ile njia takatifu ielekeayo kwenye kiini ndiye mwenye mamlaka nayo; na huyo ndiye soulimeti wa kweli. Mtoa damu!

Ingekuwa tunaoa tuliowatoa bikra hata hizi purukushani tunazoziona kwenye ndoa zisingekuwepo. Kusingekuwa na ishu za vibamia na mabwawa - na hata laana na mamikosi yanayotokana na kubeba mamizigo ya watu huko maana kusema kweli wengi tunaishia kuoa wake za watu (kiroho!)

Ndiyo maana jamaa aliyemtoa bikra demu/mke wako akimkomalia anamla tu maana tayari wamo katika maagano ya damu...maagano ya kudumu!

View attachment 2692846

Hivi hiyo damu ni ipi mbona mimi Hakuna damu ilitokaa ukiachana na maumivu makali Kama kisu Hakuna damu ilionitoka au bikira bado ipo [emoji23][emoji23]
 
Ni kweli jamaa ni wa pili kwako?

Tuanzie hapo kwanza...

Jamaa kahisi umemfunga kamba...na pengine yuko sahihi [emoji16][emoji16][emoji16]

All in all, maongezi ya aina hii hayana faida kwa mwanaume

Ni kweli ni wa pili

Halafu mkuu mimi mbona sikutoka damu zaidi ya maumivu tu hiyo bikira ya kutoka damu ni ipi??
 
Huyo bado hajawa matured....mwanaume serious anaanzia pale alipokukuta mambo ya nyuma hayamuhusu
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
Nakazia...
Kwanza ME anayejielewa hawana maswali ya hivyo namna hiyo...
 
Ni ujinga wa hali ya juu sana kwa watu kukaa na kuanza kuongelea mahusiano yao ya nyuma na mwenza wake.

Ila somo kubwa hapa ambalo wadada wanapaswa kujifunza ni kwamba katika mahusiano serious (hasa ndoa) thamani ya mwanamke ni bikra yake, hili mtake msitake lakini ndo ukweli. Wanaume huwa tunavumilia tu kwa kukwepa kuyatia akilini mahusiano yenu ya mwanzo lakini sisi tumeumbwa na dominance ndani yetu, kamwe hatuchukulii poa kwamba kuna mtu mwengine ulimvulia chupi, ikiwa ni jana au miaka 20 nyuma.

Hivi wanawake hamjiulizi kwanini bikra mnayo nyinyi tu na wanaume hatuna? that's your seal tape! Ikiwepo ni value kwa mwenye mali na isipokuwepo ndo just tu kilichopo kwa mtumiaji!

Nawashangaa sana sasa kama unajua ni muhimu oa uliemtoa bikira unamuachia nani sasa… kama unajua umemtoa mtoto wa watu bikira na hajaolewa nenda umuoe mbona ni simplee
 
Back
Top Bottom