mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,650
- 4,481
- Thread starter
- #101
Labda stori yako ya kutolewa bikra, ina mastaili ambayo wewe hujawahi mpa..!!
Alichovya tu akatoa Hakuna style alipewa na kitu ya mara moja
Labda stori yako ya kutolewa bikra, ina mastaili ambayo wewe hujawahi mpa..!!
Huyu akili zake siyo nzuri bac amfuge yeye bikira kwenye banda chizi.njoo kwagu my dear
Basi sio mwanaume wako wa pili ndio maana unasema ukimwambia mengine atakufa.
Si umemueleza jamaa alivyokubandua kihisia na ukabanduka kweli, niliemtoa bikra sasa hivi sijui alipoSwali likaja ilikuaje ukatolewa bikira… nikamuelezea ilivyokuwa tukaagana leo siku ya 2 hatuwasilianii
Kwani kosa langu nini hapo nyie wana JF
Kina frank ndiyo walivyo.
Vumilia tu
Pia na wewe ( I ) utulie sasa, uache uwongo uwongo wako.
Pole sana, wadada mwanaume akikuuliza kuhusu wanaume ulowahi kulala nao ni mtego huo, KAZA Usijibu.
Siungemuambia Frank ndio alikubikiri mwaka jana na ulimpa mwenyewe tuu shida nini na ni bikra ya mbele ya nyuma ipo
Sasa mbona huyo Kijana anakuuliza vitu haviko...
Maswali gani hayo anakuuliza na utu uzima alionao..
We utakuwa unatafuta business partner sio mkeMuache kudeti na vitoto, mwanaume mwenye future uangalia IQ ya mwanamke na Sio kuangalia uchi.
Uchi kila mtu anao but IQ Sio kila mtu anayo
Ulimwambia jinsi ulivyoliwa kisamvu? Afu bikra ipi unayoizungumzia? Hayo mengine ukimwambia jinsi ulivyoliwa unamanuliwa chooni n bafuni unapigwa mashine hadi miguu inakosa ushirikiano unashindwa kutembea hatokua na hamu na wewenikimwambia mengine
Kila mmoja na interest zakeWe utakuwa unatafuta business partner sio mke
Kila mmoja na interest zake
Ex wako atamjua tu ipo siku.Wala sijataja jina na wala ex wangu hajui majina yao
Nilimpa maelekezo tu kwamba nilienda nikaliwa basi
Sio kosa lako,angeitaka bikira angewahiSasa kama kachelewa kunijua yaani tufanyaje
Hapo kusema uliliwa ndo kosa ulilofanya, kwa nini usiseme ulibeba ndoo ya maji bikra ikatoka.........wanaume ni tofauti na nyie wanawake ndo maana nyie mnaweza kuishi hata kama wake wenza.Wala sijataja jina na wala ex wangu hajui majina yao
Nilimpa maelekezo tu kwamba nilienda nikaliwa basi
Achana nako katakusumbua akili[emoji1787]Wivu mbaya sana
Ex wako atamjua tu ipo siku.