Wanaume shida ni nini?

Wanaume shida ni nini?

Binti hujawaelewa hawa wapumbavu.

Kosa kubwa mnalolifanya ni kuwavulia vyupi kabla hamjaoana.
Ni ujinga wa hali ya juu sana kwa watu kukaa na kuanza kuongelea mahusiano yao ya nyuma na mwenza wake.

Ila somo kubwa hapa ambalo wadada wanapaswa kujifunza ni kwamba katika mahusiano serious (hasa ndoa) thamani ya mwanamke ni bikra yake, hili mtake msitake lakini ndo ukweli. Wanaume huwa tunavumilia tu kwa kukwepa kuyatia akilini mahusiano yenu ya mwanzo lakini sisi tumeumbwa na dominance ndani yetu, kamwe hatuchukulii poa kwamba kuna mtu mwengine ulimvulia chupi, ikiwa ni jana au miaka 20 nyuma.

Hivi wanawake hamjiulizi kwanini bikra mnayo nyinyi tu na wanaume hatuna? that's your seal tape! Ikiwepo ni value kwa mwenye mali na isipokuwepo ndo just tu kilichopo kwa mtumiaji!
 
Tuna mahusiano ya muda mrefu tu zaidi ya mwaka, huyu jamaa tangu naanza nae mahusiano amekuwa akilazimisha nimwambie kuhusu background yangu ila mimi namkwepa

Yaani yeye kazi yake ni kunihadithia kuhusu ex’s zake mara ooh mara uuh anyway mimi sijajali sana kuhusu hilo

Katika story story tukajikuta tumeingizia hiyo mada tena tunatania basi ye kusema ashatembea na dadaz wengi tu na Mimi nikamwambia yeye ndio wa pili kwangu

Swali likaja ilikuaje ukatolewa bikira… nikamuelezea ilivyokuwa tukaagana leo siku ya 2 hatuwasilianii

Kwani kosa langu nini hapo nyie wana JF
Labda stori yako ya kutolewa bikra, ina mastaili ambayo wewe hujawahi mpa..!!
 
Hata mimi sielewi mtu ana kuganda umwambie ukweli unapita Kona hii et anakulaumu kabisa kwanini unamficha unaficha nini niwaulize nyie wanaume mnatakaga nini na mtu mumemkuta sio bikira
Huyu akili zake siyo nzuri bac amfuge yeye bikira kwenye banda chizi.njoo kwagu my dear
 
Yaani sijui imekuaje nikaongea maana nimekwepa sana hilo swali zaidii ya miaka ila mtu anakuganda what else nikimwambia mengine si atakupa wanaume wengi ni wagonjwa
Basi sio mwanaume wako wa pili ndio maana unasema ukimwambia mengine atakufa.
 
Kina frank ndiyo walivyo.
Vumilia tu
Pia na wewe ( I ) utulie sasa, uache uwongo uwongo wako.
 
Wanawake huja kutambua baadaye sana tena kwa kuchelewa kuwa idadi ya wanaume aliowavulia chupi inaweza kumkosesha mume endapo mpenzi wake wa sasa aliyeonyesha nia ya kumuoa atajua

Na ndio maana hapa wanawake wengi huwa wanawadanganya wapenzi wao

Ipo hivi naturally wanaume tunapenda kujua background ya mwanamke kama vile wanawake wanavyopenda kujua future ya mwanamume kabla ya ndoa
​

Ndio maana jibu ni wewe ni wa pili
 
Mi naona mwanamke hutakiwi kabisa kumwambia mtu mambo ya ma ez zako na mambo ya kutolewa bikra ,yeye hata akiongea vipi ww usiongee mwache yeye aongee tu na hata akiuliza tafuta namna nzuri ya kumwambia ili kulinda uhusiano wenu .
Ukishamhadithia tu hisia zinaanza kupungua.

Acha tu mtu anakuchokonoa mpk anakasirika et why unamfichaa sasa nisemeje na hapo penyewe nimesema uongo ili usimuumize na kama ningesema ukweli je …. Kiufupi nilimpa hadithi ya kutunga kwa namna alivyolazimisha ila Hakuna ukweli niliousema hapo hata mmoja
 
Pole sana, wadada mwanaume akikuuliza kuhusu wanaume ulowahi kulala nao ni mtego huo, KAZA Usijibu.
 
Tuna mahusiano ya muda mrefu tu zaidi ya mwaka, huyu jamaa tangu naanza nae mahusiano amekuwa akilazimisha nimwambie kuhusu background yangu ila mimi namkwepa

Yaani yeye kazi yake ni kunihadithia kuhusu ex’s zake mara ooh mara uuh anyway mimi sijajali sana kuhusu hilo

Katika story story tukajikuta tumeingizia hiyo mada tena tunatania basi ye kusema ashatembea na dadaz wengi tu na Mimi nikamwambia yeye ndio wa pili kwangu

Swali likaja ilikuaje ukatolewa bikira… nikamuelezea ilivyokuwa tukaagana leo siku ya 2 hatuwasilianii

Kwani kosa langu nini hapo nyie wana JF
you better tell him early afanye maamuzi
 
Sasa mbona huyo Kijana anakuuliza vitu haviko...
Maswali gani hayo anakuuliza na utu uzima alionao..
 
Back
Top Bottom