mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,650
- 4,481
- Thread starter
- #121
Ulikosea, ulitakiwa umuweke bize kwenye kujadili mambo ya msingi kama uwekezaji n.k
Story ziliisha
Ulikosea, ulitakiwa umuweke bize kwenye kujadili mambo ya msingi kama uwekezaji n.k
Hapo kusema uliliwa ndo kosa ulilofanya, kwa nini usiseme ulibeba ndoo ya maji bikra ikatoka.........wanaume ni tofauti na nyie wanawake ndo maana nyie mnaweza kuishi hata kama wake wenza.
Ebu kapichaStory ziliisha
Basi usi-generalize kwa interest zako!Kila mmoja na interest zake
Hili ndo kosa kubwa mnalolifanya la kujilinganisha na wanaume, eti oa uliomtoa Bikra!Nawashangaa sana sasa kama unajua ni muhimu oa uliemtoa bikira unamuachia nani sasa… kama unajua umemtoa mtoto wa watu bikira na hajaolewa nenda umuoe mbona ni simplee
Jamanii mbona umenicheka tenaa please njoo pm basi[emoji1][emoji1]
We huna mke hapo, una mlezi mwenza!Mimi huwa nina tabia katika mastory lazima niwaongelee maex's,kumbe hii ikawa inamuumiza sana mke wangu
Baadae nae akaanza kuwa ananipa mastory yake mengi mengi ya kuhusu kuliwa na mpaka alivyotolewa bikra na jamaa mkubwa tu alikuwa daktar yeye wakati huo akiwa form 2,pia akawa ananihadithia jinsi alivyokuwa analiwa na wababa wazima wenye familia zao tena yeye akiwa kidogo kident,nikawa naumia kiaina ila napotezea
Ila kuna siku alinipa story ambayo niliumia sana mpaka leo,aliniambia aliwah kuwa na mahusiano na dogo aliekuwa form 2 na wakat huo mke wangu alikuwa ameshakuwa mkubwa tu yupo mtaani,na aliliwa na huyo dogo kimasihara na baadae ikatokea akampenda kiukwel kwel huyo dogo,hii story ilinipiga ganzi
Hayo ni mapito tu,kila mtu ana mapito yakeWe huna mke hapo, una mlezi mwenza!
Mimi huwa nina tabia katika mastory lazima niwaongelee maex's,kumbe hii ikawa inamuumiza sana mke wangu
Baadae nae akaanza kuwa ananipa mastory yake mengi mengi ya kuhusu kuliwa na mpaka alivyotolewa bikra na jamaa mkubwa tu alikuwa daktar yeye wakati huo akiwa form 2,pia akawa ananihadithia jinsi alivyokuwa analiwa na wababa wazima wenye familia zao tena yeye akiwa kidogo kident,nikawa naumia kiaina ila napotezea
Ila kuna siku alinipa story ambayo niliumia sana mpaka leo,aliniambia aliwah kuwa na mahusiano na dogo aliekuwa form 2 na wakat huo mke wangu alikuwa ameshakuwa mkubwa tu yupo mtaani,na aliliwa na huyo dogo kimasihara na baadae ikatokea akampenda kiukwel kwel huyo dogo,hii story ilinipiga ganzi
Sasa unao mtu mjinga si atakusumbua kwa upumbavu wakeBasi usi-generalize kwa interest zako!
IQ kwani tunataka kufungua kitivo cha uvumbuzi nyumbani!
Ndio maisha hayaish changamoto ni tunavumilia tu kuna watu bahat hio hawana kila sehem ni wanakuta pashafunguliwa wao ni kupita tu Kama milango ya kanisa 😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23]
Tuelezee hapa ulivyo tolewa bikra .....tuanzie hapo kwanza ndipo tutajua tatizo lipo kwako au kwakeTuna mahusiano ya muda mrefu tu zaidi ya mwaka, huyu jamaa tangu naanza nae mahusiano amekuwa akilazimisha nimwambie kuhusu background yangu ila mimi namkwepa
Yaani yeye kazi yake ni kunihadithia kuhusu ex’s zake mara ooh mara uuh anyway mimi sijajali sana kuhusu hilo
Katika story story tukajikuta tumeingizia hiyo mada tena tunatania basi ye kusema ashatembea na dadaz wengi tu na Mimi nikamwambia yeye ndio wa pili kwangu
Swali likaja ilikuaje ukatolewa bikira… nikamuelezea ilivyokuwa tukaagana leo siku ya 2 hatuwasilianii
Kwani kosa langu nini hapo nyie wana JF
Achana na vijana wa ovyoooTuna mahusiano ya muda mrefu tu zaidi ya mwaka, huyu jamaa tangu naanza nae mahusiano amekuwa akilazimisha nimwambie kuhusu background yangu ila mimi namkwepa
Yaani yeye kazi yake ni kunihadithia kuhusu ex’s zake mara ooh mara uuh anyway mimi sijajali sana kuhusu hilo
Katika story story tukajikuta tumeingizia hiyo mada tena tunatania basi ye kusema ashatembea na dadaz wengi tu na Mimi nikamwambia yeye ndio wa pili kwangu
Swali likaja ilikuaje ukatolewa bikira… nikamuelezea ilivyokuwa tukaagana leo siku ya 2 hatuwasilianii
Kwani kosa langu nini hapo nyie wana JF
Hata hapa unadanganya .mengine.Hiyo aina shidaa siwezi kumuelezea mwanaume kila kitu