Wanaume punguzeni kulalamika

Wanaume punguzeni kulalamika

Katika pitapita zangu hapa na pale nmesikia malalamiko mengi sana ya vijana dhidi ya wanawake. Hata hapa jf hasa MMU kumekuwa na malumbano mengi sana ya kuwa wanawake wengi siku hizi wanapiga sana mizinga............ Jaman hiyo mizinga mnayoisema ilikuwepo tangu zaman, huo ndio utaratibu wake ktk mapenz. Kukwepa mizinga ni sawa na kufanya biashara bila kulipa kodi. Ili mambo yaende sawa lazma mwanaume utoe kitu. Hapa ni toa kitu upate kitu......... Sasa kama wewe unaona kumhudumia mwanamke ni mzigo acha wahudumie wanaoweza halafu uishie kulalama tu...............

Mkono mtupu haulabwi na kama wadhani hiyo shughuli ni krahisix2 kukufkisha mshindo x ujifanyie mwenyewe ili usigharamike.Eeeebooooo?
 
Mkuu kubali ukweli zama hizi, mizinga imekua zaidi ya maradufu

Ukifanya mchezo unakamuliwa hadi unabaki mabega ndio unaachiwa mtupu
 
Katika pitapita zangu hapa na pale nmesikia malalamiko mengi sana ya vijana dhidi ya wanawake. Hata hapa jf hasa MMU kumekuwa na malumbano mengi sana ya kuwa wanawake wengi siku hizi wanapiga sana mizinga............ Jaman hiyo mizinga mnayoisema ilikuwepo tangu zaman, huo ndio utaratibu wake ktk mapenz. Kukwepa mizinga ni sawa na kufanya biashara bila kulipa kodi. Ili mambo yaende sawa lazma mwanaume utoe kitu. Hapa ni toa kitu upate kitu......... Sasa kama wewe unaona kumhudumia mwanamke ni mzigo acha wahudumie wanaoweza halafu uishie kulalama tu...............

aisee nimekupenda buree
 
Nina bahati sijapigwa mzinga kitambo sana.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Siku ya pili 2 mtu anakwambia
"jaman nataka kusuka halafu hela sina jamani"
nikamuuliza sh ngapi?
30 t
lol hata salam hamna wala kunishawi no
aaa HAKATWI MTU HAPA
 
Nina bahati sijapigwa mzinga kitambo sana.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

Ukiona hivyo huyo uliyenaye anakusoma, kuna siku atakutolea uvivu, au wewe unajisifia kuna wanaojazia mapengo. Karaga bao?.
 
Back
Top Bottom