kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,506
- 18,872
kumbee eh....!waambie aisee.....
mwanaume kuhudumia.....
kumbee eh....!waambie aisee.....
mwanaume kuhudumia.....
Ukiona hivyo huyo uliyenaye anakusoma, kuna siku atakutolea uvivu, au wewe unajisifia kuna wanaojazia mapengo. Karaga bao?.
Uzuri nahudumia hadi kunipiga mzinga anashindwa
Mmezidi omba omba utasikia baby nikuambie kitu niambie baby na shida 50000 baby cm yangu imepotea baby Mimi Leo ctaki kula nyumbani baby Mimi huwa siwaelewi Hawa dadazetuKatika pitapita zangu hapa na pale nmesikia malalamiko mengi sana ya vijana dhidi ya wanawake. Hata hapa jf hasa MMU kumekuwa na malumbano mengi sana ya kuwa wanawake wengi siku hizi wanapiga sana mizinga............ Jaman hiyo mizinga mnayoisema ilikuwepo tangu zaman, huo ndio utaratibu wake ktk mapenz. Kukwepa mizinga ni sawa na kufanya biashara bila kulipa kodi. Ili mambo yaende sawa lazma mwanaume utoe kitu. Hapa ni toa kitu upate kitu......... Sasa kama wewe unaona kumhudumia mwanamke ni mzigo acha wahudumie wanaoweza halafu uishie kulalama tu...............
Katika pitapita zangu hapa na pale nmesikia malalamiko mengi sana ya vijana dhidi ya wanawake. Hata hapa jf hasa MMU kumekuwa na malumbano mengi sana ya kuwa wanawake wengi siku hizi wanapiga sana mizinga............ Jaman hiyo mizinga mnayoisema ilikuwepo tangu zaman, huo ndio utaratibu wake ktk mapenz. Kukwepa mizinga ni sawa na kufanya biashara bila kulipa kodi. Ili mambo yaende sawa lazma mwanaume utoe kitu. Hapa ni toa kitu upate kitu......... Sasa kama wewe unaona kumhudumia mwanamke ni mzigo acha wahudumie wanaoweza halafu uishie kulalama tu...............