Ni kweli kaka me huwa nasema, if you can not handle the heat in the kitchen, go out
Yeyote unayelala naye!
Katika pitapita zangu hapa na pale nmesikia malalamiko mengi sana ya vijana dhidi ya wanawake. Hata hapa jf hasa MMU kumekuwa na malumbano mengi sana ya kuwa wanawake wengi siku hizi wanapiga sana mizinga............ Jaman hiyo mizinga mnayoisema ilikuwepo tangu zaman, huo ndio utaratibu wake ktk mapenz. Kukwepa mizinga ni sawa na kufanya biashara bila kulipa kodi. Ili mambo yaende sawa lazma mwanaume utoe kitu. Hapa ni toa kitu upate kitu......... Sasa kama wewe unaona kumhudumia mwanamke ni mzigo acha wahudumie wanaoweza halafu uishie kulalama tu...............
Tatizo ni kwamba wapo wanawake wanaao dai hela nyingi kupita kiasi. halafu mwisho wasikuwanakuwa wasaliti.
sio kosa ila umri na mda muafaka ukifika utajua tu....... Vijana wanaangamia kwa kukosa maarifa
Sina ninayelala nae
||"You were too young to understand"||
..yaani hawa viumbe, hata huko beijing sijui walifata nini!!!!!
..haki sawa kwa wote, kwani utamu napata pekeyo?? worse enough, udate mdada anayekuzidi kipato, utapigwa mizinga iliyoshiba..
hiv unataka kutomhudumia mwanamke ndio njia ya kupunguza kuchapiwa au maumivu pindi ukichapiwa??
Yeyote unayelala naye!
Mkuu usidhani nina umri mdogo kushindwa kuelewa hili. Ila mimi naona wewe ndiye unaangamia kwa kukosa maarifa.
||"You were too young to understand"||
Ngoja wamalize cha fasta waje!!!
na kwann ulale na kila mwanamke?! Kama moyo wako unapenda wengi basi hudumia wote...... Kwasababu tunakula kadir matumbo yetu yanavyohitaji.... Ww kama uwezo wako ni mke mmoja bas hudumia huyo, kama ni watano fanya vivyo hivyo
hahaaa! Hebu niambie nifanyeje akiniomba kitu?! Nmnyime wakat ninacho? Au nifanyeje?
acha ubwege ww... kwan ile raha unapata mwemyew? au kuna dem unafukuzia hum jf ko unajishebedua!!!!!!!!???????