Wanaume punguzeni kulalamika

Wanaume punguzeni kulalamika

Unamkopesha, tena kwa maandishi.

||"You were too young to understand"||

hahahaa! Usiudanye umma kaka! Basi mwambie shemeji aje kukopa kwangu
 
Nakubaliana na wewe! Kama analala na wengi basi ni wajibu kuwahudumia wote!

asante kwa kunielewa...... Lakin haya mambo ya kulalamika yann?! Wakat umetaka mwenyew kula vingi halafu kuhudumia unakwepa
 
kubali kupigwa mizinga usigongewe nje...

sikiliza, cost benefit zinasema hivi, endapo mwanamke akitaka laki 1, kama wewe ni bargainer mzuri, mshushe mpaka 50 ama 40 hivi.. mpe tu bila kuhoji its for what...

then, eat her a lot according to what you paid..

they call it barter system.
 
hahahaa! Usiudanye umma kaka! Basi mwambie shemeji aje kukopa kwangu

Mkuu ningeweza kuongea nawe zaidi nijue kipato chako, how do you support your parents na ndugu zako, unavyoweza kujiweka sawa wewe binafsi kiuchumi, ukaweza kufanya savings, kisha bado ukapata pesa ya kumhonga mwanamke. Until then, Alamsik.

||"You were too young to understand"||
 
Mkuu ningeweza kuongea nawe zaidi nijue kipato chako, how do you support your parents na ndugu zako, unavyoweza kujiweka sawa wewe binafsi kiuchumi, ukaweza kufanya savings, kisha bado ukapata pesa ya kumhonga mwanamke. Until then, Alamsik.

||"You were too young to understand"||

mkuu nina kipato cha mtanzania wa kawaida..... Lakin lazma nibajeti mapato na matumiz...... Kias gan kiende kwa ndug na wazaz na kias gan kiende kwa nimpendaye na kias gan kiingie kwenye mipango mingne
 
Mtanzania wa kawaida, unatoa kingi kuliko unachoingiza.

||"You were too young to understand"||
 
Mtanzania wa kawaida, unatoa kingi kuliko unachoingiza.

||"You were too young to understand"||

hahahaa! Sijawahi kutoa zaidi ya nachoingiza. Na utambue kuwa msaada sio utoe kila wiki au kila mwez kuna mipango na mda wake
 
asante kwa kunielewa...... Lakin haya mambo ya kulalamika yann?! Wakat umetaka mwenyew kula vingi halafu kuhudumia unakwepa

Wape wape vidonge vidonge Mgirik :juggle:
 
soooooooooooooo gud hongera Mgirik umesema ukweli wamezid malalamiko
 
Last edited by a moderator:
eheee! Umekuja hebu wathibitishie hawa jamaa, naona wanapingana na mm

mwanume majukumu na si kulalamika na ukiona hivyo ni kina mario kupenda kulelewa ..... basi kama ataki majukumu asipewe papuchi
 
mwanume majukumu na si kulalamika na ukiona hivyo ni kina mario kupenda kulelewa ..... basi kama ataki majukumu asipewe papuchi

hahahaaa! Kumbe unawajua akina mario wenzio. Na ww punguza basi sio vzr
 
Tatizo ni kwamba wapo wanawake aao dai hela nyingi kupita kiasi. halafu mwisho wasikuwanakuwa wasaliti.

Ukisubiri aombe ataomba nyingi,kuwa na kautaratibu ka kumpa kiasi kidogo unacho afford mara kwa mara bila yeye kuomba.
 
Ukisubiri aombe ataomba nyingi,kuwa na kautaratibu ka kumpa kiasi kidogo unacho afford mara kwa mara bila yeye kuomba.

Hehehe kazi kweli kweli

||"You were too young to understand"||
 
Back
Top Bottom