Wanaume punguzeni kulalamika

Wanaume punguzeni kulalamika

Katika pitapita zangu hapa na pale nmesikia malalamiko mengi sana ya vijana dhidi ya wanawake. Hata hapa jf hasa MMU kumekuwa na malumbano mengi sana ya kuwa wanawake wengi siku hizi wanapiga sana mizinga............ Jaman hiyo mizinga mnayoisema ilikuwepo tangu zaman, huo ndio utaratibu wake ktk mapenz. Kukwepa mizinga ni sawa na kufanya biashara bila kulipa kodi. Ili mambo yaende sawa lazma mwanaume utoe kitu. Hapa ni toa kitu upate kitu......... Sasa kama wewe unaona kumhudumia mwanamke ni mzigo acha wahudumie wanaoweza halafu uishie kulalama tu...............

ujumbe Mgirik wote mngekuwa na mtazamo kama huu ingekuwa raha sana no migogoro
 
Last edited by a moderator:
Hehehe.. Hii yote ni kuhalalisha

mkuu sio kuhalalisha huo ndio ukweli wa mambo....... Utajiskiaje mpenz wako akiumba laki1 halafu ukamnyima na baadaye kwa vile anashida akaja kuomba kwangu nikampa hivi utajiskiaje hapo?! Utamlaumu kuwa ni malaya??
 
Hali ya maisha ni ngumu,hadi vibinti vidogo vinatoka na vikongwe(baby) sababu ya pesa...hawataki boy friends tena kwani bfriends hawana hela!
 
ujumbe Mgirik wote mngekuwa na mtazamo kama huu ingekuwa raha sana no migogoro

hahahaaaa! Najua matatzo kama hayo kwako hamna kwasababu naamin Excel hawez kufanya makosa kama hayo
 
Last edited by a moderator:
Katika pitapita zangu hapa na pale nmesikia malalamiko mengi sana ya vijana dhidi ya wanawake. Hata hapa jf hasa MMU kumekuwa na malumbano mengi sana ya kuwa wanawake wengi siku hizi wanapiga sana mizinga............ Jaman hiyo mizinga mnayoisema ilikuwepo tangu zaman, huo ndio utaratibu wake ktk mapenz. Kukwepa mizinga ni sawa na kufanya biashara bila kulipa kodi. Ili mambo yaende sawa lazma mwanaume utoe kitu. Hapa ni toa kitu upate kitu......... Sasa kama wewe unaona kumhudumia mwanamke ni mzigo acha wahudumie wanaoweza halafu uishie kulalama tu...............

Tangu zamani mizinga ilikuwepo na pia huduma ilikuwa nzuri. sasa hivi mapenzi ni kama siasa za tz naona muanze kutumia mashine za tra mrejesho uingie ccm ole wenu cdm ichukue nchi mmekwisha.
 
wewe hangaika kuhonga wenzio wanapewa buree...mpaka hela ya LOJI wanalipiwa..
 
aaaa! Mkuu upo na huku nmekuona kuleeeee kwenye Vatcan na Rc
 
mkuu sio kuhalalisha huo ndio ukweli wa mambo....... Utajiskiaje mpenz wako akiumba laki1 halafu ukamnyima na baadaye kwa vile anashida akaja kuomba kwangu nikampa hivi utajiskiaje hapo?! Utamlaumu kuwa ni malaya??

Kama ana shida na hela si akakope!!?

||"You were too young to understand"||
 
wewe hangaika kuhonga wenzio wanapewa buree...mpaka hela ya LOJI wanalipiwa..

mkuu acha nihonge tu najua ndio wajibu wang pindi napokuwa na nmpendaye........ Na nimwiko kwangu kupokea hela kutoka kwa mwanamke.... Vingnevyo labda itoke kwenye vyanzo vyangu... Lakin sio katoka huko ambako mm sijui kaitoa wapi na anakuja kunipa! Hilo kwangu mwiko na dhamira hainiruhusu
 
Ishu ya kumpa hela mwanamke hapana kwakweli,acha niwe mkweli.

||"You were too young to understand"||
 
Kama ana shida na hela si akakope!!?

||"You were too young to understand"||

sio kosa ila umri na mda muafaka ukifika utajua tu....... Vijana wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Katika pitapita zangu hapa na pale nmesikia malalamiko mengi sana ya vijana dhidi ya wanawake. Hata hapa jf hasa MMU kumekuwa na malumbano mengi sana ya kuwa wanawake wengi siku hizi wanapiga sana mizinga............ Jaman hiyo mizinga mnayoisema ilikuwepo tangu zaman, huo ndio utaratibu wake ktk mapenz. Kukwepa mizinga ni sawa na kufanya biashara bila kulipa kodi. Ili mambo yaende sawa lazma mwanaume utoe kitu. Hapa ni toa kitu upate kitu......... Sasa kama wewe unaona kumhudumia mwanamke ni mzigo acha wahudumie wanaoweza halafu uishie kulalama tu...............

Mwaaa................
 
mkuu acha nihonge tu najua ndio wajibu wang pindi napokuwa na nmpendaye........ Na nimwiko kwangu kupokea hela kutoka kwa mwanamke.... Vingnevyo labda itoke kwenye vyanzo vyangu... Lakin sio katoka huko ambako mm sijui kaitoa wapi na anakuja kunipa! Hilo kwangu mwiko na dhamira hainiruhusu

tatizo hawa viumbe hata ukiwapa bahari wakiamua wanagawa tu bure kwa wengine...
anyway kila mtu na msimamo wake ila mimi yaana mwanamke kwenye vibomu 10 atakavyonipiga labda kimoja tu ndo atafanikiwa...hela haziokotwi atii..hawa viumbe ukiwaendekeza hela ya cement.yote utanunulia mawigi ya brazil..
 
Back
Top Bottom