Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
- Thread starter
-
- #41
Jasho la mwanaume ni kali sana na linakera, pia wengi wao ndio wana hili tatizo tofauti na wanawakeHili ni suala mtambuka mkuu.
Mchafukoge si kwa wanaume tu, ni jinsi zote wapo.
Nilitegemea hapa uwazodoe wote.
Tatizo umebagua wakati uchafu hauchagui jinsia!
Mbona harufu ya socks makwapaniπππππ»Weeee π€£π¦π¦π¦
Umejuaje kama ninatoa harufu ya soksi makwapani ?
Sawa kwapa Bado miguu, Mtu akivua viatu Bora ya kwapa!Thank youuuu, nashukuru pia umewawekea bei ya deodorant labda walidhani kunukia ni gharama, wakishindwa kabisa wajisugue na limao makwapani
Hela haikai sehemu chafu bhana, meaning huwezi kua mchafu halafu ukawa na hela, never everSasa mnachotaka ni usafi au hela? Kueni specific. Mnachanganya vijana.
π€£KAZI ngumu, lazima kwapa lichemke!
Ile unamweka doggy harufu yotee pwaaaaaaah!!!!!!Nyie wanawake pia safisheni kei zenu zinanuka haswa
Just imagine DC wetu Niki wa 2 alishindwa kula papuchu kisa harafu mbaya kam ya samaki alioza.
Umejuaje maana umeniambia nisafishe makwapa?Mbona harufu ya socks makwapaniπππππ»
Hata kama ana hela?Sipendi mtu anuke
Thank God cases za kunuka zilipita mbali
Wanasikia ila hua wanahisi ile harufu wanaipata wao pekee, haitoki njeNahisi wenyewe hawaiskiagi,.
Wangekuwa wanajiskia wanavyotoa harufu za kukera wangekuwa wanajisafisha vizuri
Nani amekudanganya?Hela haikai sehemu chafu bhana, meaning huwezi kua mchafu halafu ukawa na hela, never ever
Utetezi wako wa hali na maliUmejuaje maana umeniambia nisafishe makwapa?
IPO Kuna sehemu nilikuwa salesman,jamaa wanahela balaa,meno hayasuguliwi,shati chafu,miguu kama Udongo,nje Kuna land cruiser, tractor,fuso tandamu namba C enzi hizo!Hela haikai sehemu chafu bhana, meaning huwezi kua mchafu halafu ukawa na hela, never ever
Kunja shingo yako kushoto temea mate chini ili yasirudi kinywani mkuu, wooh like seriously!Jasho la mwanaume ni kali sana na linakera, pia wengi wao ndio wana hili tatizo tofauti na wanawake
Hatari sana kwa afya ya akili kama hauna strong mind lazima upate shidaIle unamweka doggy harufu yotee pwaaaaaaah!!!!!!
Wengine ndivyo walivyo hata wakipiga povu, kwapa litachemka tuu!Wanasikia ila hua wanahisi ile harufu wanaipata wao pekee, haitoki nje
ndiyo mkuu hakuwa mwanamke..!Unamaanisha jamaa alikuwa ni Mwanaume na sio mwanamke?
alipita seat za nyuma huko, aliokaa nao nahisi walipokea muujiza wao..!ππΎHahahahahahaha walai umenivunja mbavu, mmh jasho hilo kali halafu kwenye train, siwezi kukaa na mtu wa hivyo nitapaliwa, nitazimia.